Home Search Countries Albums

Scorpion Lyrics


Oyah gathee ni aje ni jea
Nasikia ni mi umekuwa ukingojea
Samahani nimekuwa nikilea
Nina masahani kadhaa za Nereah

Hii mziki yetu ukizidi ongelea
Boss itabidi pia mi mnitaje
Ju nimekuja na mavitu safi safi
Utadhani nimekunywa detergent

Vile mlitaka ndo saa mtaipata
Kama unapenda si unaeza ata ipata
Unaeza tumia ata aunt ukitaka
Mwambie mziki napanga tikitaka
Na hii yetu bado ni mi natetea

Kama hunipendi ni we nakemea
Takataka ukitaka teketea
Siasa pata ka ...

Scorpion, ahuu
Scorpion, ahuu
Scorpion, ahuu
Scorpion, ahuu, finish him

Flow kali sana na blow kali bana
Nilianza mbali na sio early sana
Show hadi Ghana mashow hadi Ghana
Napiga mashow hadi Americana

Na vile mi hupenda noma mi sana
Na broke hadi nyanya ni cross hadi Bama
Ni broke hadi nyama ni cross hadi Ngara
Ni broke hadi mala sigara na panga

Hakuna kitu mbogi itaniambia
King wa kukafunga mamita ka mia
Mama pita njia ama mamia
Niko na mamita kamia

Na mbogi yako inaweza kam pia
Wakuje waseti ki camp pia
Wasee wa Sound City am pia
We bow to anti happier

So kuja karibu jo karibia
Alafu shika kichupa jo karibia
Alafu Dj pia anza kazi pia
Cheza Khali na pia ucheze Cardi pia

Tutaki kitu inatuharibia
Na pia tutaki toka early pia
Na pia tushalipia buddy here
My dear itisha kitu adisia

Party ka si participate
Sipati si basi ni fake
Na kama ni fake
Si basi sipati mi hu-hate (Sana)

Na kama mi huhate
Si basi sipati ni fake
Na kama ni fake my niggas
-- -- get em

Scorpion, ahuu
Scorpion, ahuu
Scorpion, ahuu
Scorpion, ahuu, finish him

Najua mmezoeshwa 
Ngoma za kupigana mamiti na pekejeng
Zangu zi huburn Kamiti 
Wasee wako miti na bado na Nduthi Gang

My nigga na ka unarap na bado huna kitu
Jaribu Katitu men
Hii hapa nishaimada 
Ka una shida ka argue na Murkomen

Mi si ni Buffet ya Jones na Nyash
Sauti Sol, Kaka, Namba nane
Buda na umetajwa itabidi umegawa mafans
Ama katambe

Cheki vile mi hupull up na ma bundas
Mangiri soo ndo mi nitawale
Na ka hujatajwa ni uache kurap
Toka enda kalale

Mafans washinda wakiuliza 
Niaje siku hizi hatupigi maviews
Ilibidi nicheze chini kibronjez
Nadishia now I'm bringing the juice

Hii ndio itachezagwa mpaka kwa news
Itafanya mpaka Barca wa-loose
Itabang up mpaka majuu
Itapendwa na bang'a mpaka na crew

Ladies and gentlemen KOB, Scorpion King
Has a .. finish it

Scorpion, ahuu
Scorpion, ahuu
Scorpion, ahuu
Scorpion, ahuu, finish him

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Scorpion (Single)


Copyright : (c) 2020 Arnom Music Group (AMG)


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

LAMAZ SPAN K.O.B

Kenya

Lamaz Span K.O.B is an artist from Kenya. ...

YOU MAY ALSO LIKE