Jayden Walevi Anthem Lyrics
Aiii wewe, wewe
Aiii buda buda, zingiri
Scorpion aii wewe
Nafurahi nikicheki vile ngori inapungua baba
Fungua baba, ah fungua baba
Sai ni kutegea tu Jayden afungue baba
Afungue baba, afungua baba
Nafurahi nimkicheki vile ngori inapungua baba
Fungua baba, ah fungua baba
Sai ni kutegea tu Jayden afungue baba
Afungue baba
Nimemiss tu kukutana kwa bar
Nimemiss pia kukunywanga kwa bar aki
Nimemiss kupelekana kwa bar
Nimemiss pia kutekana kwa bar
Aki namiss pia kutesanga kwa bar
Si wakenya huwa fire kutumia pesa kwa bar
Namiss kuteteshana kwa bar
Na watoto wakitetemeka tetema kwa bar
Miezi kama saba nikiwa kwa nyumba
Nikivumilia siasa za bibi
Wacha saa tatu sai inipate nikiwa kwa bar
Nikicheki new siasa za bibi
Yaani hata ka tutakunywa na mask
Fungua fungua fungua
Ata ka pombe itakuja na flask
Fungua fungua fungua
Nafurahi nikicheki vile ngori inapungua baba
Fungua baba, ah fungua baba
Sai ni kutegea tu Jayden afungue baba
Afungue baba, afungua baba
Nafurahi nimkicheki vile ngori inapungua baba
Fungua baba, ah fungua baba
Sai ni kutegea tu Jayden afungue baba
Afungue baba
Check kuvaa mask sai ni ka kufunga tai
Sanitize pia tusha normalize
Na ikiweza ile kitu legalize
Si tuko tayari kujinyc
Nafurahi nikicheki vile ngori inapungua baba
Fungua baba, ah fungua baba
Sai ni kutegea tu Jayden afungue baba
Afungue baba, afungua baba
Nafurahi nimkicheki vile ngori inapungua baba
Fungua baba, ah fungua baba
Sai ni kutegea tu Jayden afungue baba
Afungue baba
Na mabar zifunguliwe na bash
Mabouncer na waiter wote watip iwe wa first
Omollo senior tuma kitu
Kale kajamaa pia ka usafi
Kalipwe kama manager wa branch
Sausage na bia mbili
Dj pia cheza safi
Chachisha mbogi ishinde ikidance
Hii sherehe si pia tumeigoja sana
Lakini kuna issue hapa iko critical
Mmefanya kila kitu ikuwe political
So nyi mnaeza piga hizo mavituko
Wacha si tupige benga na Mugithi show
Omollo senior original
Scorpion kanga weka signal
Mistari safi safi
Utadhani nimesign iwa na label ya sanitizer
Na usikam hata na ndae
Ju leo ni mayego zinalipuka
Na zisipokushika si tuitiwe ule dem
Huzungusha sambuka
(A moment of silent kwa wale tumepoteza)
Akifuatwa na ule anauzanga sambusa
Wakenya wezangu pia mi nimewaaminia
Najua hii janga tutavuka
Scorpion Omollo senior kesi kubwa
Mi ni mali, aiii, wewe
Sanitize stay safe
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Jayden Walevi Anthem (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE