Switcher Baba Lyrics
Ehhh beibe beibe byebe
You care fir me too
Much me i feel good
Nishaikabidhi nafsi man I stay true
Mbingu ya saba ndio mahali wmeniweka boo
Juu juu jua juu ya mwezi juu ya nyota
Umenifanya general unenipa manyota
Wanifanya nahisi kama me naota
Yani murde ndo case ukija niponyoka
High grade penzi lako mama me namoka
My love for you is faithful
My love for you is special
My love for you is pure
Nitakupenda leo kesho mpaka pumzi ya
Mwisho maybe even more
My love for you is faithful
My love for you is special
My love for you is pure
Nitakupenda leo kesho mpaka pumzi ya
Mwisho maybe even more
Nikiwa nawe I feel so peaceful
My lady you wash away the pain
Uwepo wako kwangu simple
Ni kama blood inside my veins
Ooh nasikia raha nikiwa nawe
Ooh nasikia raha nikiwa nawe
Ooh nasikia raha nikiwa nawe
Ooh nasikia raha nikiwa nawe
Ooh nasikia raha nikiwa nawe
Pale unanibembeleza (Bembeleza bembe)
Hasa unanibembeleza (Bembeleza bembe)
Pale unanibembeleza (Bembeleza bembe)
Hasa unanibembeleza (Bembeleza bembe)
Sichaki hata kukutazama kisura
Sitaki hata kukukoseshaga furaha
Wewe ndio umefanya nimejuwa
Kupenda unapopendwa raha ona tunanyopendana
My love for you is faithful
My love for you is special
My love for you is pure
Nitakupenda leo kesho mpaka pumzi ya
Mwisho maybe even more
My love for you is faithful
My love for you is special
My love for you is pure
Nitakupenda leo kesho mpaka pumzi ya
Mwisho maybe even more
Nikiwa nawe I feel so peaceful
My lady you wash away the pain
Uwepo wako kwangu simple
Ni kama blood inside my veins
Ooh nasikia raha nikiwa nawe
Ooh nasikia raha nikiwa nawe
Ooh nasikia raha nikiwa nawe
Ooh nasikia raha nikiwa nawe
Ooh nasikia raha nikiwa nawe
Pale unanibembeleza (Bembeleza bembe)
Hasa unanibembeleza (Bembeleza bembe)
Pale unanibembeleza (Bembeleza bembe)
Hasa unanibembeleza (Bembeleza bembe)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Switcher Baba (Single)
Added By : Olivier charly
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE