Home Search Countries Albums

Harusi Lyrics


Bwana harusi mule mule mule umelenga
Bibi harusi mule mule mule umelenga
Bwana harusi mule mule mule umelenga
Bibi harusi mule mule mule umelenga

Tumpambe maua tumuache anukia
Tumbebe kimwana tumfute jasho
Tumpongeze kijana kwa uamuzi wa busara
Tumpeeni hongera tulizo afutwe jasho
Uamuzi huu uamuzi mkubwa mkubwa sana
Tuwatakie furaha raha maana upendo

Leo leo, siku kubwa ni leo
Leo leo, shangwe vigelegele
Leo leo, siku kubwa ni leo
Leo leo, shangwe vigelegele

Oh mama bibi harusi bwana harusi wamependeza
Na keki ya harusi mbuzi haruki imefana
Oh  baba bwana harusi bibi harusi ni kushikana
Oh mama wenye chuki wataji jei jei

Leo leo, siku kubwa ni leo
Leo leo, shangwe vigelegele
Leo leo, siku kubwa ni leo
Leo leo, shangwe vigelegele

Kwa mapozi cheza manjoo
Beko lako tu ndo hapo
Futa jasho kitu na box
Vigelegele piga makofi

Shusha na toti
Vinyaji ni mingi misosi
Pokea zawadi ya doti
Kenge sanduku na pochi

Cheza tikisa waone wenyewe hivyo, walosema hayawi
Kukuruka ndugu na vumbi timka
Ndo muda wa kukata dafu (Kukata dafu)
Mlishe akulishe kama ulivyomvisha pete

Leo leo, siku kubwa ni leo
Leo leo, shangwe vigelegele
Leo leo, siku kubwa ni leo
Leo leo, shangwe vigelegele

Bwana harusi mule mule mule umelenga
Bibi harusi mule mule mule umelenga
Bwana harusi mule mule mule umelenga
Bibi harusi mule mule mule umelenga

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : 20 (Album)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

LADY JAYDEE

Tanzania

Lady Jaydee also known as Binti Machozi, real name Judith Wambura is a recording artist from Tanzani ...

YOU MAY ALSO LIKE