Home Search Countries Albums

Te amo

KUSAH

Te amo Lyrics


Ipigwe piano nikuimbie te amor
Najuwa wachawi wamo ila watajiju
Avitutishi vinyago vipite vikae kando
Najuwa wachawi wamo aya mapenzi
Mapenzi bwagaranyo sijiwezi
Kwake mjinga memshensi yataniua haya mapenzi
Anaesema asali tamu anakosea saaana
Jama mapenzi matamu, labsa hawajapatana
Anaesema asali tamu anakosea saaana
Jama mapenzi matamu, labsa hawajapatana
Ooh baby baby

Nikuimbie te amo, te amo, te amo
Te amo, te amo, te amo
Te amo, te amo, te amo
Te amo, te amo, te amo

Penzi letu historia walisema hayajatimia
Si walisema nitalia ooh baby wee mmh
Acha nikae karibu na karibu na karibu na babe
Nikienda kule watanichu na watanikuna
Anasema asali tamu anakosea saaana
Jama mapenzi matamu labda hawajapatana
Anasema asali tamu anakosea saaana
Jama mapenzi matamu labda hawajapatana
Ooh baby baby

Nikuimbie te amo, te amo, te amo
Te amo, te amo, te amo
Te amo, te amo, te amo
Te amo, te amo, te amo

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Te amo (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

KUSAH

Tanzania

Kusah is a musician from Tanzania. ...

YOU MAY ALSO LIKE