Home Search Countries Albums

Ndovu ni Kuu

KRISPAH

Ndovu ni Kuu Lyrics


Ndovu ni kuu
Ah ah ah ah
Na itabidi wanijue 
Ah ah ah
Basi weka mkono juu
Ah ah ah 
Yes you,
Ah ah ah, you...

Vile na bambam
Polisi wana ubaya 
Dame yako vile mahanjam 
Namimi sina ubaya 
Kosea uniite handsome husikii hizo ni hekaya 
Felicia na lisa 
Hivo ndo mi niliwa acquire 
Cheki 
Tulikuwa na pamela shule moja ndani ya kwaya
Siku hizi vile anameza mara moja utagwaya 
Na anaringia sana flat tummy hana taya 
Ako na kila kitu kitu hanaga ni haya 

Mtoto wangu akiitwa ku ntakataa
Hakunaga masomo ku nimekataa
Unapeleka mtoi first year introduction 
Baada ya wiki mbili ashajua reproduction 

Ndovu ni kuu
Ah ah ah ah
Na itabidi wanijue 
Ah ah ah
Basi weka mkono juu
Ah ah ah 
Yes you,
Ah ah ah, you...

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Ndovu ni Kuu (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

KRISPAH

Kenya

Krispah real name Christopher Thande Githara also known as Ndovu Kuu or Arcane Krispah&nbs ...

YOU MAY ALSO LIKE