Home Search Countries Albums

Najibamba

ALPHA QUEEN

Najibamba Lyrics

Siku zaba za wiki
Kazi iko kwa wingi
Maisha ngumu si rahisi
Mwili yangu haijihisi

Hustling I got it from my mama
Gasoline we burning till the morning
Walisema mi siwezi
I love it when they are messy
Time to be, hakuna kusileki
Up by three, kokoriko mashariki

Itabidi kupambana
Sina time ya madrama
Naukipiga, mteja wa nambari
Siezi patikana, ungekuja jana

Nakukuja jana ninamanisha
Ilesiku nilikua nakuuliza
Sina do g please Fuliza
Ulikua wapi nikiwa kwa giza

Clout haiwezekani with familia
Coz they familia with who I am
Find me in my pajamas
With my bwana, tukidi eh

Why u gotta do me like that
Ra ta ta ta ta
Ra ta ta ta ta
Ulikuwa wapi nikiwa kwa giza
Pesa inafly sasa unajiuliza

Mi najibamba, mi najibamba 
Mi najibamba, mi najibamba 
Mi najibamba, mi najibamba 

Itabidi kupambana, sina time ya madrama
Mi najibamba, mi najibamba 
Itabidi kupambana, sina time ya madrama
Mi najibamba, mi najibamba 

Siku zaba za wiki
Kazi iko kwa wingi
Maisha ngumu si rahisi
Mwili yangu haijihisi

Siku zaba za wiki
Kazi iko kwa wingi
Maisha ngumu si rahisi
Mwili yangu haijihisi

Mi najibamba, mi najibamba 
Mi najibamba, mi najibamba 

Itabidi kupambana, sina time ya madrama
Mi najibamba, mi najibamba 
Itabidi kupambana, sina time ya madrama
Mi najibamba, mi najibamba 

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Najibamba (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

ALPHA QUEEN

Kenya

Alpha Queen real name Catherine Oteyo is an artist from Kenya based in Toronto. ...

YOU MAY ALSO LIKE