Mara Moja Mbili Tatu Lyrics
It's a new day baby wake up utacherewa kwenda kazini eeeeeeeeeeeeh
Kwanza nasema nipe mara moja mbili tatu nasema tena nipe
Mara moja mbili tatu tafathari baby nipe
Mara moja mbili tatu unipee unnipeeeeeh
Kwanza nasema nipe mara moja mbili tatu nasema tena nipe
Mara moja mbili tatu tafathari baby nipe
Mara moja mbili tatu unipee unnipeeeeeh
Kwanza nasema nipe mara moja mbili tatu
Nasema tena nipe mara moja mbili tatu
Nasema tena nipe mara moja mbili tatu tafathari
Baby nipe mara moja mbili tatu
Mi ninampago leo leo tunadunda nawe tulipatana
Juzi na katiba tuchasoma ukanipeda nikakupeda
Mtaani nishaigizia nawe kila mtu anajua wewe ni wangu eeh
Pete kufa kupona tushaapa tusiachane milele daima
Dawmu watani wananiita kipaza sauti ni nyimbo
Moto ninazoiba mapezi moto nishakupa mziki tushacheza naweeh weh
Queen sema jina langu boss baby wa nguvu ooh
Kwanza nasema nipe mara moja mbili tatu nasema
Tena nipe mara moja mbili tafathari baby nipe mara
Moja mbili tatu unipee unnipeeeeeh kwanza
Nasema nipe mara moja mbili tatu nasema
Tena nipe mara moja mbili tatu tafathari
Baby nipe mara moja mbili tatu Ati maisha London twende
Mombasa kukakure raah sahau shida ni Kwa mda
Daling naamini kwa utaratibu
Dodoma Tanzania tutaeda Kampara
Zimbabwe kotekote please please
Baby girl cheza kaa wewe wacha kukazia mmmmh
Kwanza nasema nipe mara moja mbili tatu
Nasema tena nipe mara moja mbili tatu tafathari
Baby nipe mara moja mbili tatu unipee unnipeeeeeh
Kwanza nasema nipe mara moja mbili tatu nasema
Tena nipe mara moja mbili tatu tafathari
Baby nipe mara moja mbili tatu unipee unnipeeeeeh.
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2024
Album : (Single)
Added By : KingsMainaMSsteve
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE