Home Search Countries Albums

Me and You

KING RAYKER

Me and You Lyrics


Finally I found what I needed a woman to satisfy my need
Wanifariji we ndo my queen na hutoniacha naamini
Design same outfits twapendeza like twins
Tume Saini wewe na mimi mbele ya mungu na nchi
Nime muomba mola akanipa mke mzuli wa sifa
Sio wakidimbwi wala insta ni mtoto wa kanisa
Habandiki kope wala kucha no makeup filter
Hatumii pombe wala shisha leo pete namvisha
Namshukulu ex kwa kuniacha akakupa nafasi
Ningepata wapi mapenzi haya ya mwendo kasi
Tunza heshima upate baraka kutoka kwa wazazi
Na sitokupa taraka nika kuumizia nafsi

Na ndiomaana nakupenda kukuacha sidhani
Forever me and you Yeah forever
Together me and you
Na tena sijarogwa nimapenzi jameni
Forever me and you
Tume fall in love
Together me and you
Tukae me na wewe bustani ya mapenzi
Forever me and you
In the paradise
Together me and you

Usiskilize maneno ya watu sio wazuli wanaroho ya chatu
Tupendane tuwe mfano wa vitabu mtaani tujengewe sanamu
Jameni mapenzi matamu yamenijaa moyoni hadi damu
Mpaka uzeeni kama bibi na babu watoto wajifunzie adhabu
You my world you my number moja wanaotaka tuachane watangoja
Leo hii tumekua mwili mmoja twapendezana tukiwa pamoja
Ukiwa mbali mwenzako nakonda nashtuka ndotoni nakuona
Una treat we ni zaidi ya doctor bila dawa maladhi yanapona
Sura cheko umbo umejaliwa sio bandia
Ulipewa macho ya kuangalia na sio ya kulia
Uliniahidi watoto utanizalia heshima utanitunzia
Tukikosa vyakula utavumilia na hutonikimbia
Leo hii me navimba natamba hadharani

Forever me and you
Forever Together me and you
Niwakumbushe sijarogwa nimapenzi jameni
Forever me and you
Babe wherever with you
Together me and you
Together with you in the paradise
Forever me and you
Tume fall in love
Together me and you Hmmm uhh
Forever me and you
Mboni ya jicho langu
Together me and you
Nakupenda saana
Forever me and you Loyal
Together me and you
Forever me and you
Together me and you

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2023


Album : Me and You (Single)


Added By : Eric Dukundane

SEE ALSO

AUTHOR

KING RAYKER

South Africa

King Rayker is a musician from South Africa ...

YOU MAY ALSO LIKE