Home Search Countries Albums

Kwanini Nioe?

KING RAYKER

Kwanini Nioe? Lyrics


Eti nioe kwanza me kijana na sijatulia
Hadharani kugombana tukijitia aibu tunarudiana
Eti kufa na kuzikana harafu mwisho wa siku tuje kuachana
Matusi kutupiana wakati tulifunzwa kuheshimiana
Nitafute mwenyewe nitokwe jasho
Eti chochote cangu nawe nicako
Hivi unataka ndoa ama watoto ebu kua mkweri acha utoto
Na kama ujana maji ya moto afadhali kwa balidi yatanipa joto
We kesha kazini ufuate michongo me nipo nyumbani kwako napaka mkongo
Kwanza kupika mimi ninajua Mambo ya kupiga deki hadi kufua
Naogopa pressure isije niua
Nikikupa moyo wangu ukunizingua
Nirudi nyumbani nikute umenuna
Kabla ya kunisemesha unagunaguna
Kwanza nitatoa pesa sio maua
Demu wa mtu nikimtamani nitamununua

Say
Me mwenzako i'm afraid
Misukosuko ya everyday
Kwanini nioe Nakufumania ukininchiti you want me to believe what you say
Kwanini nioe
Ooh my friend then you have to understand
Kwanini nioe
Ndio hutaki kuowa lakini tongoza wasikuone gay
Kwanini nioe Kwanini Kwanini say kwanini
Kwanini nioe kwanini ayii
Kwanini kwanini

I don't wanna stress
andifuni stress yeah just wanna stay fresh
I don't wanna stress
andifuni stress yeah just wanna stay fresh
I don't wanna stress
andifuni stress yeah just wanna stay fresh
I don't wanna stress andifuni stress yeah
just wanna stay fresh

Sinshaka kwitega mine nkwambike impeta twandikwe muri komine
Ngo Ivyanje vyose turabisangiye
Wake devorce babitugaburire
Shaka wigire Shaoline
Women first ngo ntajambo mfise
Undaze hanze ngo natashe saa yine
Uze kungaza munzu niyubakiye
Nushake urongore jewe ndacirira ubusore
Ninshaka umugore nzoza iwawe ndamugore
Biraramba ndore kuba mwarihuse mpore
Wirabura ufise inzobe Nturimwiza gusumba irobe

Me mwenzako i'm afraid
Misukosuko ya everyday
Kwanini nioe Nakufumania ukininchiti you want me to believe what you say
Kwanini nioe
Ooh my friend then you have to understand
Kwanini nioe
Ndio hutaki kuowa lakini tongoza wasikuone gay
Kwanini nioe Kwanini Kwanini kwanini
Kwanini nioe
kwanini say kwanini ayii kwanini
Umugabo bamwogera mw'ibase iyo atahanishashe
Nawe urara mukabare upanga amakarate
abagabo murabe mwikebuke mwiteho abagore
Ntimwishinge ama karaoke mwiteze imbere

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2023


Album : King Rayker (Single)


Added By : Eric Dukundane

SEE ALSO

AUTHOR

KING RAYKER

South Africa

King Rayker is a musician from South Africa ...

YOU MAY ALSO LIKE