Utanipata Lyrics
Unadu, unadu nini baadae
Si twende hivi nikushow kitu
Unadu, unadu nini baadae
Si twende hivi nikushow kitu
(Kaka Empire is the lifestyle)
Bern Music
Uta-utanipata na waresh
Utanipata niko jaba
Utanipata niko baze
Utanipata niko ah ah
Utanipata niko
Utanipata niko
Utanipata niko
Utanipata niko
Utanipata Whiskey hapo kando ya rive
VIP Kando ya DJ, ma lady ka jide
Waiter leta Remy usidelay
Utanipata na OCS tunakata maji yes
Leo hatutaki ma PS na mangeus wamebea KBS
Rada jo ni safi na hatutumi GPS
Utanipata na maCEO, tunabonga nyingi doh
Tunabonga madeal jo, nikikupata hutahitaji madildo
Uta-utanipata na waresh
Utanipata niko jaba
Utanipata niko baze
Utanipata niko ah ah
Utanipata niko
Utanipata niko
Utanipata niko
Utanipata niko
Utanipata niko jing
Baby gal nimechill in my area
Leo niko free siko wera
Diaba iko juu new era
Huyo ni mresh kwa dera
Leo niko gym nimechill in my area
Na tuko drinks na mavela
Pretty darling na chibela
Na wale wameketi basi get up
Amsha bana usikalie kitako
Hii tabia tulianza kitambo
Hata ukinikalia chapo
Jua leo utapata kichapo
Uta-utanipata na waresh
Utanipata niko jaba
Utanipata niko baze
Utanipata niko ah ah
Utanipata niko
Utanipata niko
Utanipata niko
Utanipata niko
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Utanipata (Single)
Copyright : (c) 2021 Kaka Empire.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
KING KAKA
Kenya
King Kaka born as Kennedy Tarriq Ombima in Eastlands Nairobi Kenya, is an Hip Hop Artiste from Kenya ...
YOU MAY ALSO LIKE