Home Search Countries Albums

Salome

KING KAKA

Salome Lyrics


Now now hii ni  story inahusisha
Son of a preacher na daughter of a teacher
I tell you mbona mlango umelegeza
Na mbona sioni food juu ya meza
(Baby it’s 11, I was asleep tayari
neighborhood is safe nililock keys kwa gari
Na sorry sikuskia nilikuwa deep kwa ndoto
I always wAit for you Nataka ukule food moto)
Don’t talk to me hivyo unadhani nimelewa?
Hizi miaka zote ni Kaa haujanielewa
Nikikam home singing nimecarry beer
I had a really long day mammi hebu karibia
(Slap and screams ghaiii Nelson)
Siku hizi ata you don’t satisfy me kimwili
Kuvaa nguo za promo na excuse ya watoto wawili
Mama Millie Kwani nini?
Pigia ata karao ni 9 na 1 mbili
(Hello Police,ataniua he is trying to kill me..
Are you okay?..No!
He just punched me nimehepa kwa closet ata sahii nimejificha
hiyo temper yake naeza end up kwa futi Sita)
Ohh You think I don’t see you?wewe kuja hapa

(Glasses breaking screams and cries)
(Sirens)

(Clears throat)
Sasa..Excuse..Beste yangu aliletwa hapa
mambo ya violence I think huzzy yake alimchapa)
Ilikuwa jana aa I think kitu saa saba
(Oh! Enda straight to the left
hapo mwisho kuna bed
(Maryann starts to cry)Wah! Aki Salome
Sijacall anyone nilitaka tu we ndio unione
Mbona unasmile like it’s okay na unalia?
He will never love you hizo siku ziliishaishia
(Najua huyu shetani wangu,Kabla Mungu)
That’s exactly what will happen,unajua amekushinda nguvu?
Haki Salome your face is black and blueish
Your mind is made up but your heart is foolish
(He will change I swear anakuanga tu hivi)
Deep down he’s a good guy Na si ati namjengea CV
Unajua Family yako haikujui mi ndio nakujua the closest?
Be honest with yourself,toa skeletons kwa closet
And I hate to say it Salome but
There is no time left
na one day God forbid utaelekea tu death
Uhm..excuse me..Boss..ndio Yule pale
Heh!!!
What are you doing here Nelson?
How can you even show your face?
She is not ok and a few bones zimebreak
Babe, babe can I talk to you?
Mary I’m not talking to you
A few things amesema yes it’s partly true but nikilewa sipendangi ukinileta juu
(Kwanini?) Just siku mbaya and I turn it on you (Bulshit)
Please Mary I’m not talking to you (utafanya)
Babe the kids are missing you (yani)
Everything I do revolves around you(Hakuna)
Come here my wife let me hug you and (Salome No..No)
I am sorry but I love you (Nooo!)

Few months later,Mary anacheki news ya 9
kulikuwa na msee amemurder 2kids na wife
afterwards he took his own life
Karao wanasema hakukuwa na evidence, kwanini hao ichomwe
Ndio Mary akarealize,Damn! Huyo alikuwa Salome

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2018


Album : Eastlando Royalty (Single)


Added By : Afrika Lyrics

SEE ALSO

AUTHOR

KING KAKA

Kenya

King Kaka born as Kennedy Tarriq Ombima in Eastlands Nairobi Kenya, is an Hip Hop Artiste from Kenya ...

YOU MAY ALSO LIKE