Mpaka Kifo Lyrics

I mean ushaipenda mtu yaani
Unaimagine ati kuna mtu mwingine
Anaweza mpenda, ni kukatsiwa
Mi nawe forever till death do us part
King Kaka Whozu
Tupendane mpaka kifo
Tupendane mpaka kifo
Tupendane mpaka kifo
Tupendane mpaka kifo
I mean when they say till death do us part
This is what I mean
Our love is forever hadi sisikii
Nataka nikulove hadi 6 fit
Ah silali sifeel sleep
Sikuli pia etc
I got you ma nakucover ka jale
Na tukiendelea wacelebrate ka Vale
Enemies washow wakae mbali
Mi ni wako, kwani wataduu?
I still love you hata kama ni taboo
Nikuchore kwa forehead kama ni tattoo
Na tunashare kama ni tu doo
Si ni septic ka Cohen kama ni ku-go
Kuna alternatives mob nitaje majina
I mean kuna poison for dinner
Aki si kwa baro tujirushe kwa mariner
Tupendane mpaka kifo
Tupendane mpaka kifo
Tupendane mpaka kifo
Tupendane mpaka kifo
(Me and forever mummy till death do us part)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : The Servant & The King Mixtape / Mpaka Kifo (Album)
Copyright : (c) 2020 Kaka Empire.
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
KING KAKA
Kenya
King Kaka born as Kennedy Tarriq Ombima in Eastlands Nairobi Kenya, is an Hip Hop Artiste from Kenya ...
YOU MAY ALSO LIKE