Home Search Countries Albums

Thanos Lyrics

Mans nimengeuka thanos cheki hio wrist
Mbota ngota ya ngola
Bro walidhani amekata naona siku hizi ananona
Kijana mfupi nono round ana bastola
CS fed import risasi sisi hatutaki manjora

Dem alienda ocha shosh huwanga stoner 
Makamagera Ong'ata wanajuanga ati rende ni Ronger
Ka hununui ondoka, niliuliza shika na hawker
Birthday present ilikuwa Luminous Nike mbaka nayola

Pullup kwa scene one more time 
Siko shy nywele nimedye
Kukiwa na msako, cops hadi fly
Wote wanywe chai

Best rapper wako akituona anafurahi
Tusibishane bishane maneno sidai
Youth waliseat pon the board
Ni kupona marauwo
Kutoka Hessy ajifanye karao
Nyi mnaniona mi naona mathao
Mbegu nilipanda naziombea mazao

Hii ni top-notch hii ni ya wajanja
Eastlando hakuna mahali sina matanga
Nilitry siku moja just imagine na ilishindikana
Nilishindwa kulala bila silaha juu ya kitanda

Bro walidhani amekata naona siku hizi ananona
Kijana mfupi nono round ana bastola
CS fed import risasi sisi hatutaki manjora
Dem alienda ocha shosh huwanga stoner 
Makamagera Ong'ata wanajuanga ati rende ni Ronger
Ka hununui ondoka, niliuliza shika na hawker
Birthday present ilikuwa Luminous Nike mbaka nayola

Mans nimengeuka thanos cheki hio wrist
Mbota ngota ya ngola
Bro walidhani amekata naona siku hizi ananona
Kijana mfupi nono round ana bastola
CS fed import risasi sisi hatutaki manjora

Dem alienda ocha shosh huwanga stoner 
Makamagera Ong'ata wanajuanga ati rende ni Ronger
Ka hununui ondoka, niliuliza shika na hawker
Birthday present ilikuwa Luminous Nike mbaka nayola

Ata shawty anaweza kuambia Dosh mi ni strict
Nilimwambia its either akam akae na mimi 
Ama nibaki nidu streets
Turudi street back to gangshit kwani nyinyi mlidhani?

Babu wa Swaleh ndo jina Munga msanii
Hadi warambe wanajua mimi mjahidin
Uki fly Off set Cardi B
Prr prr prr prr yeah

Vijana warui tukimwita ni kuwashako gunga
Ye hugusa after Michael Olunga
Masaku hadi kwa Msakulu
Tuliulizwa mmekam tour ama mmekam kutuua

Mans nimengeuka thanos cheki hio wrist
Mbota ngota ya ngola
Bro walidhani amekata naona siku hizi ananona
Kijana mfupo nono round ana bastola
CS fed import risasi sisi hatutaki manjora

Dem alienda ocha shosh huwanga stoner 
Makamagera Ong'ata wanajuanga ati rende ni Ronger
Ka hununui ondoka, niliuliza shika na hawker
Birthday present ilikuwa Luminous Nike mbaka nayola

Mans nimengeuka thanos cheki hio wrist
Mbota ngota ya ngola
Bro walidhani amekata naona siku hizi ananona
Kijana mfupi nono round ana bastola
CS fed import risasi sisi hatutaki manjora

Dem alienda ocha shosh huwanga stoner 
Makamagera Ong'ata wanajuanga ati rende ni Ronger
Ka hununui ondoka, niliuliza shika na hawker
Birthday present ilikuwa Luminous Nike mbaka nayola

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG

Release Year : 2021

Album : Thanos (Single)

Copyright : (c) 2021 Zoza Nation/Rong Rende

Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

DOMANI MUNGA

Kenya

Domani Munga (born 2 September 19' ) aka Wuzu or Doche is an artist from Kenya, member of t ...

YOU MAY ALSO LIKE