Home Search Countries Albums

All Caps

BREEDER LW

All Caps Lyrics

Me hufika niki chachisha ni kama mat ya umo imefika
Vile beat inabang kwa speaker huezi taka kukua my neighbor
Tiplo yote ni me inaskiza Sunday morning isaa ya misa
25 nilishika mita 26 nikabuy ka dinga
24 nilikuanga mjinga , 22 nilikua na Lisa
23 nilikua Bazenga jina kila mtaa ilifika
Mafosa jo ni maziwa, wipe hio lens ukipiga picha
Big Fucking Baba Weka All In Caps Ukiiiandika

Naskia Vera saa hii ako single  naeza dai ibaki hivo
Me and her can be item ndio Brand iongeze Mauzo
Ikikam kwa ile mchezo nina skills set ya Gaucho
I'm a lake side boy na nimenonesha mfuko
Flow ni ya 2007 but naileta ikiwa fresh
Enzi Prezzo alikua na Nikki alafu pulse ilikua gazzet
Lil Wayne akiwa The Best, Cater 3 ilikua on deck
Sasa mbona Undertaker me ni beef na likobe

Me hufika niki chachisha ni kama mat ya umo imefika
Vile beat inabang kwa speaker huezi taka kukua my neighbor
Tiplo yote ni me inaskiza Sunday morning isaa ya misa
25 nilishika mita 26 nikabuy ka dinga
24 nilikuanga mjinga , 22 nilikua na Lisa
23 nilikua Bazenga jina kila mtaa ilifika
Mafosa jo ni maziwa, wipe hio lens ukipiga picha
Big Fucking Baba Weka All In Caps Ukiiiandika

Step on dem like a hood rat
High table nakuja kukuja
Pockets deeper and too fat
Na huezi nipima , I'm too smart
Skanking ka hio parking ya quickmart watchie anashindwa ni nini amenusa
Cause I didn't have J's on my shoe rack me huvaa ndulla niki tupa ka toothbrush
V6 na nishajaza coolant
Mpepe ni ganji imetumwa
Wid a peng ting, kama sutra kwa sauna
Enjoying the view, si ni flora na fauna
Na Top ndani ya drop top ka bonus
Paper chasing me ntado the honors
After mboka ma sura walionwaa
Imebaki wameficha ka cure ya ebola
Kila Ghetto yut si ni super star, super star
Mbling na mapetco na ma super car
Keja na garden, pool  room kadhaa
Bado underration ndio si ukataa
Mungu ni nani, In God we trust
Mahali nimetoka jo ni so far
Siitaki kama sii ideserve
Put in work ntaiwai ka nimei earn

Me hufika niki chachisha ni kama mat ya umo imefika
Vile Beat inabang kwa speaker huezi taka kukua my neighbor
Tiplo yote ni me inaskiza Sunday morning isaa ya misa
25 nilishika mita 26 nikabuy ka dinga
24 nilikuanga mjinga , 22 nilikua na Lisa
23 nilikua Bazenga jina kila mtaa ilifika
Mafosa jo ni maziwa, wipe hio lens ukipiga picha
Big Fucking Baba Weka All In Caps Ukiiiandika

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG

Release Year : 2023

Album : All Caps (Single)

Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

BREEDER LW

Kenya

Paul Baraka, known by his stage name Breeder LW, or Bazenga Dadii/ Papa Fathela is a kenya ...

YOU MAY ALSO LIKE