Capital Lyrics
(Mavo on the beat)
Iko natafutanga capital
Natafuta ikol, natafutanga party tho'
Natafuta Shiko ritho
Baby nimevuta vitu illegal
Mi ndio kiboko yao mi ndio hippo
Iko natafutanga capital
Natafuta ikol, natafutanga party tho'
Natafuta Shiko ritho
Baby nimevuta vitu illegal
Mi ndio kiboko yao mi ndio hippo
Niko janta wanalia accountant
Gwan baddermarker niko na siz ambaye unamtaka
Uko na sister pia anamtaka
Uko Nairobi I hope unanipata
One, eh ai mfuko stable, kuchafua table
Utakuwa connected kama wifi cable
Kama huna kitu buda we ndo bryo cable
Wa kutokwa kumangwa kulengwa kuachwa
Mapenzi ulaya, Kenya biashara
Your mainchic my sidechic
My sidechic your mainchic
Bora upewe share yako, ulimwe
Ukinyimwa unyonge (Ukinyimwa unyonge)
Iko natafutanga capital
Natafuta ikol, natafutanga party tho'
Natafuta Shiko ritho
Baby nimevuta vitu illegal
Mi ndio kiboko yao mi ndio hippo
Iko natafutanga capital
Natafuta ikol, natafutanga party tho'
Natafuta Shiko ritho
Baby nimevuta vitu illegal
Mi ndio kiboko yao mi ndio hippo
Nikisota, huvunjanga changa
Boxer nazo kuwa ni mboka
Ndio nikae Kangalos alafu nikamonchoka
Right hukuwa na libido nalet go
Njoti ni masaki, ikiwa mabakito
Capital alafu mi naback it up
Tackito alafu mi nabakito
Zagidie akiazaga zagido
Alafu nikampea za mawagido
Alafu nikampea za mawagido
Iko natafutanga capital
Natafuta ikol, natafutanga party tho'
Natafuta Shiko ritho
Baby nimevuta vitu illegal
Mi ndio kiboko yao mi ndio hippo
Iko natafutanga capital
Natafuta ikol, natafutanga party tho'
Natafuta Shiko ritho
Baby nimevuta vitu illegal
Mi ndio kiboko yao mi ndio hippo
Iko natafutanga capital
Natafuta ikol, natafutanga party tho'
Natafuta Shiko ritho
Baby nimevuta vitu illegal
Mi ndio kiboko yao mi ndio hippo
Iko natafutanga capital
Natafuta ikol, natafutanga party tho'
Natafuta Shiko ritho
Baby nimevuta vitu illegal
Mi ndio kiboko yao mi ndio hippo
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Capital (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE