Table Manners Lyrics
Kama ni beef naileta na sahani
Kama ni phone mteja hapatikani
Uliambiwa usicheze na shetani
Sema bei ni gani buda na si samahani
Buda na si tafadhali
Utajua si kina nani
Si tuko kila mahali
Na hatujulikani
Jovie nasaniff mali
Kenye navuta ni safi
Jovie hodari
Kama ni ganji si ni walafi
Niko kejani nimetulia na mabandi
Stori ni gani Jovie alikuwanga ngwangi
Vile niko ndani ngeus aligeuka wifey
Nampeleka Murang'a alitoroka na Mwangi
Alinitoka aliokoka aliomoka
Dem anaroll na mashoga
Anajua rende ni wronger
Shoutout madonda wa Ronga
Hadi kwa selfie mi huwanga nimebonda
Kama ni beef naileta na sahani
Kama ni phone mteja hapatikani
Uliambiwa usicheze na shetani
Sema bei ni gani buda na si samahani
Buda na si tafadhali
Utajua si kina nani
Si tuko kila mahali
Na hatujulikani
Jovie nasaniff mali
Kenye navuta ni safi
Jovie hodari
Kama ni ganji si ni walafi
[Baraka]
Kama ni beef
Niko kiplani kama salvation army
Kama ni vurugu na msee amejipin
Naitoa sijui ni nani
Kama ni mali shasha the mani
Lazma steam zicarry
Kama ni vita leta vitisho
Wacha mabitch mtaani
Wachana na masteam za mlami
Mi hupenda tu masteam za mtaani
Mi nililelewa ki Rong Rende
Nilikula diet ya beef na ugali
Donda alikam akiflex ufala
Ilibidi asafishwe iyo mali
Bitch am a don umbwa ni kali
Kama ni beef naileta na sahani
Kama ni phone mteja hapatikani
Uliambiwa usicheze na shetani
Sema bei ni gani buda na si samahani
Buda na si tafadhali
Utajua si kina nani
Si tuko kila mahali
Na hatujulikani
Jovie nasaniff mali
Kenye navuta ni safi
Jovie hodari
Kama ni ganji si ni walafi
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Table Manners (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE