Home Search Countries Albums

Usiku Mmoja

JOVIAL Feat. DARASSA

Usiku Mmoja Lyrics

Mmhh Vicky Pondis
Usiku mmoja nawe (The Baddest)
Usiku mmoja nawe, usiku mmoja

Mi ndio picha 
Nasasambua tena bila kikomo
Naifinyia kwa ndani naicheketua

Mi napiga shift double decker
Sina muda wa kudeka
Mapenzi yashanipiga chenga
Ukizengua mi nasepa

Nataka usiku mmoja nawe
Nipekeche hadi che
Ila mapenzi nawe, oh aah

Nataka usiku mmoja nawe
Nipekeche hadi che
Ila mapenzi nawe, oh aah

Niko tepe kama chipsi zege
Usiku moja nawe
Nitembeze fimbo ya utembe
Usiku moja nawe

Niko tepe kama chipsi zege
Usiku moja nawe
Nitembeze fimbo ya utembe
Usiku moja nawe

Mi nataka usiku mmoja nawe, usiku mmoja nawe
Aii we, usiku mmoja nawe, usiku mmoja nawe
Mi nataka usiku moja nawe, usiku moja nawe
Oh daddy o hey, usiku mmoja nawe, usiku mmoja nawe

Mi nachekecha, nacheketua, nachekecha nacheketua
Mi nachekecha, nacheketua, nachekecha nacheketua
Mi nachekecha, nacheketua, nachekecha nacheketua
Mi nachekecha, nacheketua, nachekecha nacheketua

Wee, unataka kujaribu, jaribu vitu 
Usijaribu dry itakubadilisha
Utafungua moyo mpaka madirisha
Nakuona kwenye macho unajitamanisha
She came for one night stand 
Asubuhi amevaa langu apige stori za maisha 
Ameomba kuonja kanogewa kawa ruba
Hataki kuondoka akiondoka anataka kuja
Amezoea fegi kakutana na mjuba
Kashamja msuba na mchanja buga
Anawashwa na puna, natoa kila huduma
Nafumua nafuma

Maneno namung'unya mung'unya naguna guna
She wanna take a shower 
Kama kawa niko nyuma (Mr Burudani)

Niko tepe kama chipsi zege
Usiku moja nawe
Nitembeze fimbo ya utembe
Usiku moja nawe

Niko tepe kama chipsi zege
Usiku moja nawe
Nitembeze fimbo ya utembe
Usiku moja nawe

Mi nataka usiku mmoja nawe, usiku mmoja nawe
Aii we, usiku mmoja nawe, usiku mmoja nawe
Mi nataka usiku moja nawe, usiku moja nawe
Oh daddy o hey, usiku mmoja nawe, usiku mmoja nawe

Mi nachekecha, nacheketua, nachekecha nacheketua
Mi nachekecha, nacheketua, nachekecha nacheketua
Mi nachekecha, nacheketua, nachekecha nacheketua
Mi nachekecha, nacheketua, nachekecha nacheketua

Sina muda wa kudate
Nihonge tukaspend nikupige fusho bila band
Nikubebe tucheze na kitete
Hii ngoma sio ya uzembe 

Sina muda wa kudate
Nihonge tukaspend nikupige fusho bila band
Nikubebe tucheze na kitete
Hii ngoma sio ya uzembe 

(Take 5 now...)

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG

Release Year : 2021

Album : Usiku Mmoja (Single)

Copyright : (c) 2021

Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

JOVIAL

Kenya

Jovial , whose real name is Juliet Miriam Ayub is a Kenyan entertainer, singer, songwriter, vocalist ...

YOU MAY ALSO LIKE