Solo Lyrics
Young Legendary
It's Dj seven Maaan wagwan baby
Baby smile for me smile for me
Juu Ni Wewe unanipea mawazo mawazo
Nakuwaza wewe 24hours tu
Ila nilichokukosea nilishakuomba msamaha
Ila unipotezea na kunitonesha donda
Asali nililotengeneza limekua shubiri
Kila ninapo bembeleza haniamini
We dada we dada We dada
Aaaaaaaah Kilichoponza Ni mdomo
Ukishanikwaniza zogo
Uliniweka kipogo
Umeshuti risasi moyo
miss your body
Asali nililotengeneza limekua shubiri
Kila ninapo bembeleza haniamini
We dada we dada we dada
We dada dada siwezi kubaki single
Siwezi kubaki single Siwezi kubaki solo
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Solo (Album)
Copyright : ©2020
Added By : Its marleen
SEE ALSO
AUTHOR
DJ SEVEN
Tanzania
Dj Seven aka 'Dj Seven Worldwide' is Harmonize Official Dj based in Tanzania. He is sig ...
YOU MAY ALSO LIKE