Accueil Recherche Pays Albums

Sielewi

JEYLATI TITAN Feat. SANNY BOY

Sielewi Lyrics


Kila kukicha maneno
Yasiyo na mwisho
Masimango masimango
Yasiyo na mwisho
Kila kukicha misemo
Isiyo na mwisho
Majibizano majibizano
Isiyo na mwisho
Lipi langu kosa mama
Bado Sijajua
Mbona unanitesa sana
Bila sababu

Au Kisa sina pesa
Sina nyumba
wala magari
Ndo maana
unanitesa unaniliza
kila Wakati

Sielewi
Kwako Sielewi
Sielewi
Kwako Sielewi
Sielewi
Kwako Sielewi
Sielewi
Kwako Sielewi

Umeuchoma mwiba moyoni
Mapenzi kikaagoni
Niko kwenye kina kirefu
Yamenifika ya shingoni
Giza totoro mi sioni
Nifikichapo za mboni
Ziko wapi ahadi zako
Ulizonipa nikaani

Aaah aaah Nalia
Moyoni mi naumia
Mapenzi yamenichachia
Naajutia
Matusi ulonishushia
Eti mimi nina kibamia

Sielewi
Kwako Sielewi
Sielewi
Kwako Sielewi
Sielewi
Kwako Sielewi
Sielewi
Kwako Sielewi

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Sielewi (Single)


Added By : Moses

SEE ALSO

AUTHOR

JEYLATI TITAN

Kenya

Mayuba Moses Wanambisi de son nom de scène Jeylati Titan né le 25/08/2000 est un artis ...

YOU MAY ALSO LIKE