Sielewi Lyrics
Kila kukicha maneno
Yasiyo na mwisho
Masimango masimango
Yasiyo na mwisho
Kila kukicha misemo
Isiyo na mwisho
Majibizano majibizano
Isiyo na mwisho
Lipi langu kosa mama
Bado Sijajua
Mbona unanitesa sana
Bila sababu
Au Kisa sina pesa
Sina nyumba
wala magari
Ndo maana
unanitesa unaniliza
kila Wakati
Sielewi
Kwako Sielewi
Sielewi
Kwako Sielewi
Sielewi
Kwako Sielewi
Sielewi
Kwako Sielewi
Umeuchoma mwiba moyoni
Mapenzi kikaagoni
Niko kwenye kina kirefu
Yamenifika ya shingoni
Giza totoro mi sioni
Nifikichapo za mboni
Ziko wapi ahadi zako
Ulizonipa nikaani
Aaah aaah Nalia
Moyoni mi naumia
Mapenzi yamenichachia
Naajutia
Matusi ulonishushia
Eti mimi nina kibamia
Sielewi
Kwako Sielewi
Sielewi
Kwako Sielewi
Sielewi
Kwako Sielewi
Sielewi
Kwako Sielewi
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Sielewi (Single)
Added By : Moses
SEE ALSO
AUTHOR
JEYLATI TITAN
Kenya
Mayuba Moses Wanambisi from his stage name Jeylati Titan born 25/08/2000 is a Recording and Performi ...
YOU MAY ALSO LIKE