Moyo Wangu Lyrics

Mapendo ya dhamani
Kupenda kusiko kifani
Ukieka kwa uzani
Ah haupimiki
Na maisha safari, tuianze tukiwa wawili
We ndo rubani, ah we niendeshe
Na sijazama nusu, mzima kichwa hadi miguu
Shahidi ardhi na mbingu
Moyo wangu nilikupa
Akili yangu ukaiteka
Moyo wangu nilikupa
Akili yangu ukaiteka
Nimuache wewe niende kwa nani
Kwako napata nitakacho
Yangu taa kwangu chumbani, ni wewe
Wapo wengi ila siwaoni, macho nina upofu
Kwa ile dawa unayonipa
Maradhi nilipona
Maradhi nilipona nilipona
Na sasa nala raha
Wanaodhani ni utani
Mkono tuchore na tattoo
Kabisa waseme ni juju eh eh
Moyo wangu nilikupa
Akili yangu ukaiteka
Moyo wangu nilikupa
Akili yangu ukaiteka
Taranta ta, taranta
Taranta ta, taranta
Taranta ta, taranta
Taranta ta, taranta
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : V the Album (Album)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
BROWN MAUZO
Kenya
Brown Mauzo whose real name is Fredrick Mtinda was born on 31st December. He is a Kenyan musician wh ...
YOU MAY ALSO LIKE