Wivu Lyrics
Kila soko inachizi wake
Kila ndoa ina drama zake
Na hapa kwetu kuna mapepo, rafiki zako ndio mapepo
Wanataka unishuku, usidhubutu!
Kuwapa hao nguvu, utajikosea Sana
Wananisema vibaya, Kwa ajili Yao tunagombana
Usiwape nguvu utajikosea Sana
Wanaona wanaona wanaona wivu, Achana nao
Wanaona wanaona wanaona wivu, Achana nao
Wanaona wanaona wanaona wivu, Achana nao
Wanaona wanaona wanaona wivu, Achana nao
Hao sio marafiki, hawajui unachohisi
Hawaoni unacho ona jamani
Usizamishe meli, usitoroke penzi
Usiniache Mimi mataani
Moyo wangu ni mwepesi (Tahadhari mama)
Chunga isiwe kesi (Umenizika mzima)
Moyo wangu ni mwepesi (Tahadhari mama)
Chunga isiwe kesi (Umenizika mzima)
Wanaona wanaona wanaona wivu, Achana nao
Wanaona wanaona wanaona wivu, Achana nao
Wanaona wanaona wanaona wivu, Achana nao
Wanaona wanaona wanaona wivu, Achana nao
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Wivu (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
JADI
Kenya
Jadi is the African Story The 3 Member boy band comprising of Vince, Brandon & Ethan display imp ...
YOU MAY ALSO LIKE