Nishalowa Lyrics

Ona nanah
Ona nananah
Ninavyoonekana kama nina ulafi onhoo
Ninavyoonekana kama nakuja kasi anhaa
Najua unahitaji kidogo nafasi enhee
Na mie ndio hivyo nishakolea nazi anhaa
Huwa naota uniita
Sauti yako inavuma toka mbali
Mizigo yako nitajitwaika
Niko tayani mie kuanza safari
Kuna wakati ni usiku saa tisa
Unaongea na mimi haulali
Hivyo vitu vyanimaliza
Na kukuacha kwa kweli sitakubali
Yani sitosheki mimi
Unazidi kunichanganya
Au nilambe na ulimi
Nipite huko chini kwa chini
Naibuka nikizama
Kama samaki baharini oooh
Mapenzi yako mvua (nishaloa)
Mapenzi yako jua (lanichoma)
Mapenzi yako mvua (nishaloa)
Mapenzi yako jua (lanichoma)
Taratibu nishependa
Wangu moyo ushalenga
Vya ndani utamu nishalamba
Oh dear
Oh mama
Umenipa mapenzi, naona utajiri
Siwezi kuificha siri
Penzi maradhi nishapata
Unavyonijali dakitari
Mbona raha aah
Ndo ujue kama hakuna
Mimi bila wewe
Sitamani nikuache usiniache
Yani sitosheki mimi
Unazidi kunichanganya
Au nilambe na ulimi
Nipite huko chini kwa chini
Niibuka nikizama
Kama samaki baharini oooh
Mapenzi yako mvua (nishaloa)
Mapenzi yako jua (lanichoma)
Mapenzi yako mvua (nishaloa)
Mapenzi yako jua (lanichoma)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2025
Album : (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
JAY MELODY
Tanzania
Jay Melody is the young talented afrikan boy raised in the slams of Tandale kwa Mtogole he ...
YOU MAY ALSO LIKE