Hawatoi Lyrics

Zheh
Naitwa nani vile
Jay once again
Onhoooo
Umaskini unafanya nazidi pambana
Tena najua kule nilipotoka na ninachofanya
Halafu mungu nae ananibariki usiku mchana
Wanaoniombea mabaya hawajakosekana
Iyo mishale yao ah
Mi naikwepa
Kwanza shauri zao
Wanavyoteseka
Na kimpango wao
Mi ndo nasepa
Nikikutana nao
Ndo kwanza nacheka
Hawatoi hawatoi
Hata sifa hawatoi
Hawatoi hawatoi
Hata heshima hawatoi
Wamejukausha
Wamenuna
Wamejukausha
Kama hawanioni vile
Wamejukausha
Wamenuna
Wamejukausha
Kama hawanioni vile
Uzito ndo tatizo eti
Wanataka niwe mwepesi
Wanasema sieleweki
Si washajua siendeshwi
Wanafanya mpaka upelelezi
Anaishi wapi mbezi
Binadamu mna mengi
Kwendeni kudadeki
Anhaaaa
Hawachoki kila siku
Anhaaaaa
Wananitafuta kitu
Anhaaaa
Hawachoki kila siku
Anhaaaaa
Wananitafuta kitu ahooo
Hawatoi hawatoi
Hata sifa hawatoi
Hawatoi hawatoi
Hata heshima hawatoi
Wamejukausha
Wamenuna
Wamejukausha
Kama hawanioni vile
Wamejukausha
Wamenuna
Wamejukausha
Kama hawanioni vile
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2025
Album : (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
JAY MELODY
Tanzania
Jay Melody is the young talented afrikan boy raised in the slams of Tandale kwa Mtogole he ...
YOU MAY ALSO LIKE