Magufuli Lyrics
Mi kura yangu ni ya Magufuli
Mwingine wa nini tena?
Hata wakileta ubabe
Kura yangu sitoigawa
Wapinzani watoke sufuri
Magufuli aongoze tena
Kwa ukubwa juhudi zake
Azidi kuyaweka mambo sawa
Mwenye busara mstahimilivu
Anayapinga maovu
Magufuli wa kujivunia
Sa kwa nini asipendwe?
Yaani kila idara yenye wazembe
Wenye kufanya maovu
Wenyewe tumeshuhudia
Alivyowaweka pembeni
Darsalema mwendo kasi
Na flyover tupande, na upite
Kila kata ina zahanati
Magufuli haki ujigambe, na upite
Tunang'ang'ana hatukuachi
Magu kwa tena taifa ulijenge
Magufuli ulo jawa haki
Mwenyezi Mungu akulinde
Yaani we na mii
Wote tumchageue (Magu)
Magu, Magu tunampenda (John Pombe Magufuli)
Baba Johni Pombe, tuna imani na wee
Magu, Magu (John Pombe Magufuli)
Magu mwenye moyo wa kuijenga Tanzania
Magu, Magu (John Pombe Magufuli)
Basi tumchague aende kumalizia palipobakia
Magu, Magu (John Pombe Magufuli)
Magufuli tusije mwacha tumwonyesheni dhamani
Tumwahidi kura atapata yaani ya wewe na mimi
Alivyo zikarabati rodi, baza kina mama wodi
Akajenga na mahakama ya kudhibiti mafisadi
Na kiboko ya wasiolipa kodi
Tanzania iko OG
Ulinzi kwa wamatinga
Na ulizi kwenye migodi
Mwenye busara mstahimilivu
Anayapinga maovu
Magufuli wa kujivunia
Sa kwa nini asipendwe?
Yaani kila idara yenye wazembe
Wenye kufanya maovu
Wenyewe tumeshuhudia
Alivyowaweka pembeni
Darsalema mwendo kasi
Na flyover tupande, na upite
Kila kata ina zahanati
Magufuli haki ujigambe, na upite
Tunang'ang'ana hatukuachi
Magu kwa tena taifa ulijenge
Magufuli ulo jawa haki
Mwenyezi Mungu akulinde
Yaani we na mii
Wote tumchageue (Magu)
Magu, Magu tunampenda (John Pombe Magufuli)
Baba Johni Pombe, tuna imani na wee
Magu, Magu (John Pombe Magufuli)
Magu mwenye moyo wa kuijenga Tanzania
Magu, Magu (John Pombe Magufuli)
Basi tumchague aende kumalizia palipo bakia
Magu, Magu (John Pombe Magufuli)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Magufuli (Single)
Copyright : (c) 2020 Konde Music Worldwide
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
IBRAAH
Tanzania
IBRAAH real name Ibrahim Abdallah Nampunga (born 3rd July 1998) is an artist, singer, ...
YOU MAY ALSO LIKE