Mapenzi ya 30 Lyrics

Mapenzi ya 30, mapenzi ikishika
Mapenzi ya 30, mapenzi ikishika
Wengi wafurahia sana
Wengi wafurahia sana
Mapenzi ya 30, mapenzi ikishika
Mapenzi ya 30, mapenzi ikishika
Wengi wafurahia sana
Wengi wafurahia sana
Moyo wangu unapona nikikuona
Unameta kama taa my love
Nipe upendo wako
Give me your love ooh
She so good I kinda love to die for
She so good that typa love oh
Napendwa napendwa, mimi napendwa
Napendwa napendwa, mimi napendwa
Napendwa napendwa, mimi napendwa
Napendwa napendwa, mapenzi ya 30 napendwa
Mapenzi ya 30, mapenzi ikishika
Mapenzi ya 30, mapenzi ikishika
Wengi wafurahia sana
Wengi wafurahia sana
Mapenzi ya 30, mapenzi ikishika
Mapenzi ya 30, mapenzi ikishika
Wengi wafurahia sana
Wengi wafurahia sana
Feeling so good when you find someone good
Loves you so good that you found someone good
Yule anayekupenda jinsi unavyompenda
Mpende anayekupenda, mpende anayekupenda
Ukipapata pema, mapema wewe enda
Napendwa napendwa, mimi napendwa
Napendwa napendwa, mimi napendwa
Napendwa napendwa, mimi napendwa
Napendwa napendwa, mapenzi ya 30 napendwa
Mapenzi ya 30, mapenzi ikishika
Mapenzi ya 30, mapenzi ikishika
Wengi wafurahia sana
Wengi wafurahia sana
Mapenzi ya 30, mapenzi ikishika
Mapenzi ya 30, mapenzi ikishika
Wengi wafurahia sana
Wengi wafurahia sana
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Mapenzi ya 30 (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE