Jina Hilo Ni Uzima Lyrics

Yesu uvunja mapingu ya dhambi moyoni
Ni musamaha kwake twapata nguvu rohoni
Yesu uvunja mapingu ya dhambi moyoni
Ni musamaha kwake twapata nguvu rohoni
Jina hilo ni uzima
Jina hilo ni afya
Na amani kwetu
Jina hilo ni uzima
Jina hilo ni afya
Na amani kwetu
Yesu uvunja mapingu ya dhambi moyoni
Ni musamaha kwake twapata nguvu rohoni
Yesu uvunja mapingu ya dhambi moyoni
Ni musamaha kwake twapata nguvu rohoni
Jina hilo ni uzima
Jina hilo ni afya
Na amani kwetu
Jina hilo ni uzima
Jina hilo ni afya
Na amani kwetu
Jina hilo ni uzima
Jina hilo ni afya
Na amani kwetu
Jina hilo ni uzima
Jina hilo ni afya
Na amani kwetu
Jina hilo ni uzima
Jina hilo ni afya
Na amani kwetu
Jina hilo ni uzima
Jina hilo ni afya
Na amani kwetu
Hata ndimi elfu elfu
Hazitoshi
Kumusifu bwana
Kwa fadhili zake
Hata ndimi elfu elfu
Hazitoshi
Kumusifu bwana
Kwa fadhili zake
Yesu ni jina, liwezale yote
Yesu ni jina, lanipa amani
Yesu ni jina, lanipa furaha
Hata ndimi elfu elfu
Hazitoshi
Kumusifu bwana
Kwa fadhili zake
Hata ndimi elfu elfu
Hazitoshi
Kumusifu bwana
Kwa fadhili zake
Yesu ni jina, liwezale yote
Yesu ni jina, lanipa amani
Yesu ni jina, lanipa furaha
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Jina Hilo Ni Uzima (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE