Atatenda Lyrics
Mungu wangu sio Sunami
Yeye huwa hadanganyi
Wala sio mswahili
Anatenda Akiahidi
Anabariki hasaliti
Ni rafiki asiye nafiki
Anatenda Akiahidi
Anatenda hajamalizana nami
wanashangaa vile ninavyobarikiwa
Anatenda,, hajamalizana nami
Wameacha wanashangaa ninavyobarikiwa
Onanananna iyeeeeeee
Anatenda ,, hajamalizana nami
Namianza wanashangaa ninavyobarikiwa
Anatenda,,, hajamalizana nami
Namianza eti wanashangaa ninavyobarikiwa
Anatenda Akiahidi
Anabariki hasaliti
Ni rafiki asiye nafiki
Anatenda Akiahidi
Anatenda hajamalizana nami
wanashangaa vile ninavyobarikiwa
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Atatenda
Copyright : ©2019
Added By : Its marleen
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE