Accueil Recherche Pays Albums

Dude Lyrics


HARMORAPA – dude

Eeee bwana noma mzee…
(some touch)
Vijana wanatembea nawazee…
HARMONIZE anamzungu mzee…
DIAMOND anamganda mzee…
Mda wote niko safi nawachafua
Wanaojiita wasafi (anhaaaa)
Japokua hawataki
Wanakubali wakinikuta mitaaa ya katiiiii
Nawaona mmesanda paka simba anauza karanga
Sitaki mambo yakishamba ichoichooo…
ICHOKIBRICH MWENZANGU HARMANIZE (HUJAULAMBA)
Wanataka kiki hawajanikuta
Billnass na nandy Mmekulupukaaa

Mimi nna demu mkali kushinda hata zarii
Sitaki mabibi kama WOLPER
Kufakufa Mapema naogopaaaa ANAMAPENGO
Baraka the prince unataka kikiii
Mara kiba mara mondi umekua shabiki
Msanii mweusi hauzikii unabana pua
Unaboa shabiki

Nawaona mmesandaaaa aaah

Aaaah aaaah kila wanacheza
Dude la Harmorapa
Hata wasafi wanacheza
Dude la Harmorapa hahahahaaa
Kila kona wanacheza dude la harmorapa
Hata weusi wanacheza dude la Harmorapa (DUDE)

Ni bonge la ngoma (hee)
Hakuna kuhanya (hee)
Tunawatafuna ( heee)
Welawelewela wela ( wee)
Ni bonge la ngoma (hee)
Hakuna kuhanya (hee)
Tunawatafuna ( heee)
Welawelewela wela ( wee)
Mpigie simu Mr Touch …
Nay wa mitego amepoteaaa (eheheheeee ja… maaan turudianeeee)
Nakurudi kwake tena hataki (kama vipi tamuombea)
Eeeee bwana noma mzee…
Vijina wanatembea nawazee…
HARMONIZE anamzungu mzee…
DIAMOND anamganda mzee…
Yaaaah kweli wasafi wadananda
Pafyumu hazilipi wameamua sasa
Kuuza karanga wauza karanga (heee)
Mmeshindana na Harmorapa
Sasa nimewaachia maganda
Sasaaa (heee)
Haaaaa haaaa (heeee)
Haaaaaa (heeeee)
Kila kona wanacheza (Dude la harmorapa)
Ata wasafi wanacheza (Dude la harmorapa)
Kila kona wanacheza (Dude la harmorapa)
Dudee…
Ata weusi wanacheza (Dude la harmorapa)
Dudee…
Ni bonge la ngoma (heeee)
Hakuna kuhanya (heeee)
Tunawatafuna ( heeeee)
Welawelewela wela ( weee)
Ni bonge la ngoma (heeee)
Hakuna kuhanya (heeee)
Tunawatafuna ( heeeee)
Welawelewela wela ( weee)
Kila kona wanacheza (DUDE)
Harmorapa are you see (DUDE)
Na wasafi (dudee) yooooh wasap
(DUDEE la Harmorapa) yoooooh (DUDEE)
Kila kona wanacheza (I’m a mirimiri)
DUDEEE LA HARMORAPA (Paaaaah)
Dudee ata weusi dudee
Fella dudee la harmorapa (DUDEE)
Harmorapa in the Buildind
SOME TOUCH …
I’m in usualy
Badest Harmarapa
yeeeeeeeeah
yeeeeeeeeah
yeeeeeeeeah
yeeeeeeeeah
yeeeeeeeeah
yeeeeeeeeah
yeeeeeeeeah

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2018


Album : Dude (Single)


Added By : Charly Olivier

SEE ALSO

AUTHOR

HARMORAPA

Tanzanie

Harmo Rapa est un rappeur tanzanien. ...

YOU MAY ALSO LIKE