Home Search Countries Albums

Pilipili

HARMONIZE Feat. WILLY PAUL

Pilipili Lyrics


Willy Willy (Willy Poze)
Willy, Pozee
Pesa so kila kitu alinifunza mama
Heshima ndo kila kitu
Walishasema wahenga
Ukipata magari utapotea baby wee
Ukifuata mapeni utapotea
Mbona wajiita malaika
Na tabia zako, haziambatani
Mbonaaa wajiita mama yao,
Na watoto wako umewatupa
Mboona wajiita chocolate
Na [?] flavour kumbe we shubiri
We pili pili we, unaniumiza moyo
We pili pili we unaniumiza moyo
We pili pili we unaniumiza moyo
We pili pili we unaniumiza moyo
Mali so kila kitu, alinifunza mama
Mungu ndo kila kitu nilishika maneno ya mama eeh
Mke wangu twapigana
Kila siku ya wiki
Unataka mapeni tulia mungu ataleta
Unaniweka machungu ndani ya moyo wangu eeh
Tulia mungu ataleta, tulia
Mbona wajiita mama yao,
Na watoto wako umewatupa
Mbona wajiita chokoleti na [?] flavour
Kumbe we shubiri
We pili pili we unaniumiza moyo
We pili pili we unaniumiza moyo
We pili pili we unaniumiza moyo
We pili pili we unaniumiza moyo
(Iii eeeeh ehhh)
We pili pili we unaniumiza moyo
We pili pili we unaniumiza moyo
We pili pili we unaniumiza moyo
We pili pili we unaniumiza moyo
(Eeiiih)
Wololo wololo wololo

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2018


Album : Pilipili (Single)


Copyright : ©2018 Wasafi Records


Added By : Trendy Sushi

SEE ALSO

AUTHOR

HARMONIZE

Tanzania

Harmonize, born Rajab Abdul Kahali on 3 October 1991 in Mtwara, Tanzania, is a Tanzanian singer ...

YOU MAY ALSO LIKE