Vindu Vichenjanga Lyrics
Baby me nakupendanga
Lakini kweli wee unanitesanga
Na ukiendelea hivo vindu vichenjanga ahah
Vindu Vichenjanga
Daily me nakuhallanga
Me nakutexti na wee unanilenganga
Na sio mara moja ni kitu unafanyanga aaahah
Vindu Vichenjanga
Juzi kwa mama pima nilikupatanga
Na yule jamaa wa bodaboda kijana manyanga
Na ile minofu ya nyama choma vile mulitafunanga
Ukinicheki unajifichanga
Na sio mara moja ni kitu unafanyanga aaahah
Vindu Vichenjanga ahah
Vindu Vichenjanga ahah
Betty kama karanga nimekuchambuanga
Vile umenicheza karata umenishafulanga
Kama yosimbi viva na banta ile michezo tulichezanga
Ajua si unanizungushanga
Baby girl jua vindu vichenjanga
Nikienda benki si unanifuatanga
Tukienda hepi khafoto tunatwanganga
Fesipuku pechi khafoto unapostanga
Na nikicheki umenikropanga
Hapo fifa kweli kama mpira messi baby si umenichezanga aaahah
Vindu vichenjanga ahah
Vindu vichenjanga ahah
Am gona do you a wichihanti nikupate
Na utajua kwamba chapati ni mkate
Am gona do you a wichihanti nikupate
Na utajua kwangu sipendi nusu mkate
Nitageuza serikali nimlete yule halima
Anipikie wali na samaki wa kupakiwa
Nitageuza serikali nimlete yule halima
Anipikie wali na samaki wa kupakiwa
Yeyeyee
Vindu vichenjanga ahah
Vindu vichenjanga ahah
Vindu vichenjanga ahah
Vindu vichenjanga ahah
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Vindu Vichenjanga (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
HALISI THE BAND
Kenya
Halisi the band (Halisi Nation) is a gentleman trio based in Nairobi, writing, singing, recordin ...
YOU MAY ALSO LIKE