Usiseme No Lyrics

Msupa karibu keti chini
Nimekawia kukuona
Oohh kukuona
Sibambiiiki viile siiku hiizi
Kuna vile umekua
Ukinitoka ( Ukinitoka)
Ukiniona mtaani vichochoroni
Wewe hugo
unapiga kona (Unapiga kona)
Nieleze kama ni mapenzi
Ama ni ukweli ninavyoskia eti umechoka
(Oohh umechokaaa)
Na kile unataka mi nitado
Ili niwe nawe kila siku
Mapenzi tele mchana na usiku
Usikuu … usiku
Na kile unataka mi nitado beibe
Ili niwe nawe kila siku
Mapenzi tele mchana na usiku
Usikuu … usiku ehhh
Natamani tukue poa
Nieleze kama nimenoa
Ili kwalo niweze rejea
Usiseme no no no
Natamani tukue poa
Nieleze kama nimenoa
Ili kwako niweze rejea
Usiseme no no no
[CHORUS]
No no usiseme no
Usiseme no , usiseme no
Please usiseme no no no
No no usiseme no
No no usiseme no … usiseme no no no
No no usiseme no
No no usiseme no … usiseme no no no
Please usiseme no no no
No no usiseme no
Don’t say no usiseme no no no
Usiseme no ooh no oohh
Unanistalk instagraaamm
Unanirape si the same
Mama mboga anashanga aah
Kwani niliacha kuja kukopa mboga yeahh
Mabeshte wanakuulizia
Nashindwa vile nitawaelezea
Kule wewe ulikopotelea
Potelea… potelea
Mabeshte wanakuulizia
Nashindwa vile nitawaelezea
Kule wewe ulikopotelea
Potelea… potelea ooh
Na kile unataka mi nitado ooh
Ili niwe kila sikuu
Mapenzi tele mchana na usikuu
Sikuu… siku uuh
Na kile unataka mi nitado beibe
Ili niwe kila sikuu
Mapenzi tele mchana na usikuu
Sikuu… siku uuh yeahhh
Natamani tukue poa
Niele kama nimenoa
Ili kwako niweze rejea
Usiseme no no no
Natamani tukue poa
Nieleze kama nimenoa
Ile kwako niweze rejea
[CHORUS]
Usiseme no no no
Usiseme no… Usiseme no
Please usiseme no no
Usiseme no ooh
Usiseme no … Usiseme no
Baby don’t say no ooh
Usiseme no no no
Usiseme no… Usiseme no
Please usiseme no no
Usiseme no ooh
Usiseme no … Usiseme no
Don’t say no ooh
Usiseme no no no
Usiseme no… Usiseme no
Natamani tukue poa
Nieleze kama nimenoa
Ili kwako niweze rejea
Usiseme no no no
Usiseme no… Usiseme no
No no no non …
Usiseme no ooh
Baby please no ooh
Usiseme no ooh
Usiseme no … Usiseme no
Don’t say no ooh
Usiseme no no no
Don’t say no ooh
Usiseme no no no
Usiseme no… Usiseme no
Ohh baby please
Usiseme no no no
Usiseme no … Usiseme no
Usiseme no … Usiseme no
Don’t say no ooh
Usiseme no no no
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Usiseme No (Single)
Added By : Olivier Charly
SEE ALSO
AUTHOR
H_ART THE BAND
Kenya
H_ART THE BAND is a music group from Kenya. the Group is made up of Mordecai Mwini Kimeu (ASAP ...
YOU MAY ALSO LIKE