Katambe Lyrics
Ikibamba sana manze wapati Gwaash
Iko nini?
Hitman ting, Hitman ting
Badman ting, badman ting
Hitman ting, Hitman ting
(Hitman Kaht)
Dancey, dancey na baby ukichoka
Wacha nikudare tukikata ka quarter
Sai tunasele mashida ni kutoa
Urushe juu juu, ey mi nitaokota
Katambe katambe
Zi-zima nare wacha katambe
Iende iende wacha katambe
Baby shika simu wacha kabambe
Weh, katambe katambe
Zi-zima nare wacha katambe
Iende iende wacha katambe
Baby shika simu wacha kabambe
Abass Kubaff mi na chief keef tu
Madenge wanajipa wanalia dudu tu
Wakidancey ni matembe
Juu mna manyonyo ziko sete za kiguava tu
Mkobarieng akikam ni ma-six inch juu
Ziki-report ni hamu ongeza volume kwa speaker
Njugu tatu na time nangoja kutu ikam
Ma-turn over haswa, Wairimu, Wanja fi done
Nakemba huyu haswa, mapacha mbili kwa landrow
Wairimu chang'aa, mabuda mbwese Dakar
Wananiita Ras kwa sababu mi hu-burn
Wakiwasha das tunaseti ka peddy
Ukinipa bum tutakula rhumba ham
Na cheda zikikam nitabaki dunda
Nitakemba nitashika nitafinya ah
Na kajaba kakishika toa nguo uwache hizo aah
Katambe katambe
Zi-zima nare wacha katambe
Iende iende wacha katambe
Baby shika simu wacha kabambe
Weh, katambe katambe
Zi-zima nare wacha katambe
Iende iende wacha katambe
Baby shika simu wacha kabambe
Walisema sisi ndio mwangaza (Tumeng'aa)
Acha katambe katambe (Sana)
Songi yangu nimejipin nadai kutoa locki
Cheki ule pale, pale
Akiweza si unajua vile si hufanya
Acha katambe katambe
Baby girl we inama nionyeshe ulichopewa
Siku mingi nimedai kuku-hmmm hmmm
Lakini sijapata chance ya ku-hmm hmm
Acha nizame, nizame (Wapi?)
Washa ziwake ziwake (Nini?)
Acha zibambe tubambwe (Lazima)
Dancey, dancey na baby ukichoka
Wacha nikudare tukikata ka quarter
Sai tunasele mashida ni kutoa
Urushe juu juu, ey mi nitaokota
Katambe katambe
Zi-zima nare wacha katambe
Iende iende wacha katambe
Baby shika simu wacha kabambe
Weh, katambe katambe
Zi-zima nare wacha katambe
Iende iende wacha katambe
Baby shika simu wacha kabambe
Katambe katambe
Hio ni chuma unaskia ukirombosa
Mziki ni mboka Inshallah tutaomoka
Whine up zungusha mdogo mdogo, vile inafaa
Ju leo zinashika jo hakuna kwenda mtaa
Gwaash wapi lighter tuwashe tu kikoro
Ndio tupime tu waroro
Hatuna time jo za kuchill na wasoro
Tunazitoka za kibuda cheki label
Hizo ndula Nikey vile mi ni mandi
Tumia akili wetio gi mandi
Nawapaka sura jo ki-Peter Marangi
Na staki kusota, mi nataka tu
Ma naira ma diva, mavela kwa keja
Na madem wameiva
Cheki Gwaash pale na Rhetro Kanali
Tuko ndani ya mix
Dancey, dancey na baby ukichoka
Wacha nikudare tukikata ka quarter
Sai tunasele mashida ni kutoa
Urushe juu juu, ey mi nitaokota
Katambe katambe
Zi-zima nare wacha katambe
Iende iende wacha katambe
Baby shika simu wacha kabambe
Weh, katambe katambe
Zi-zima nare wacha katambe
Iende iende wacha katambe
Baby shika simu wacha kabambe
Dancey, dancey na baby ukichoka
Wacha nikudare tukikata ka quarter
Sai tunasele mashida ni kutoa
Katambe katambe, iende iende
Wacha katambe
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2019
Album : Katambe
Copyright : (c) 2019
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
GWAASH
Kenya
Fatboy Gwaash aka Mr. Sponyo real name Martin Wagura (Born 1st April 1997) is a Kenyan Gengeton ...
YOU MAY ALSO LIKE