Diva Wa Insta Lyrics
Dem anajipa ati kila siku yeye anaitisha
Diva wa Insta ati huto si ni diva wa Insta
Dem anajipa ati kila siku yeye anaitisha
Diva wa Insta ati huto si ni diva wa Insta
Hujaskia Diva wa Insta
Snapchat anapiga bukla
Mboto anapiga kwa ndege
Dem deng'a huwacha adi staki worry
Fine gyal rasta na plus
Ass ni peng na amewai
Cheki niko rada ya catfish walai
No simping simping too low
Nimetight kimtiti ninadai tu quant nimpee love ya mtaa
Stick from back ile tu ndo yutaka
Time yangu ile tu ndo yutaka
Bakmanyu niko area ya kwanza, na nadai
Dem anajipa ati kila siku yeye anaitisha
Diva wa Insta ati huto si ni diva wa Insta
Dem anajipa ati kila siku yeye anaitisha
Diva wa Insta ati huto si ni diva wa Insta
Ni diva wa insta manake
Hawezi pigwa picha mahali kumeparara
Nakwambia Insta ndo kwake
Akiwa mahali posh lazima atatangaza
Madiva wa Insta utawapata Ole
Ole Polos, Ole Sereni
Mimi pia utanipata Ole
Ole Wangu
Sina pesa ya kuchocha
Madiva wa Insta Ngori
Mkikosana toka Nairobi
Ju atakuanika hapo Nairobi Gossip trending
Dem anajipa ati kila siku yeye anaitisha
Diva wa Insta ati huto si ni diva wa Insta
Dem anajipa ati kila siku yeye anaitisha
Diva wa Insta ati huto si ni diva wa Insta
Diva wa Insta lakini anakaa Elchapo
Oh kumbe nilichochwa na filter
O amekunja mwili kwa Insta
Ndio atoe haga lakini nyuma anakaa ka ruler
Lakini anakubalika ee
Heri blowjob kuliko no job bana
They do it for the clout ndo wabambe tu sana
Lakini si ni para ya wakoba wa Insta
Chura akiomoka itabidi umeng'ada
Ndio maana tunawaita diva wa Insta
Mkoba tu fisa ako Moshatha aah
Fatboy!!
Dem anajipa ati kila siku yeye anaitisha
Diva wa Insta ati huto si ni diva wa Insta
Dem anajipa ati kila siku yeye anaitisha
Diva wa Insta ati huto si ni diva wa Insta
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Diva Wa Insta (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
GWAASH
Kenya
Fatboy Gwaash aka Mr. Sponyo real name Martin Wagura (Born 1st April 1997) is a Kenyan Gengeton ...
YOU MAY ALSO LIKE