Home Search Countries Albums

Bad Manners

GWAASH Feat. K4 KANALI, JOSEPH HILL

Read en Translation

Bad Manners Lyrics


Tuko sherehe na haitaki hasira (Aah)
Haitaki mabombo ma nigga (Aaah-aah)
Inataka tu makwanto wameiva
Bill nitalipa kwanza ka ni kuririma huh
A for apple na K for Kanali
Sijai kata gwil, kata gwil katikati
Sipati nakata Barley pahali haifai
(Sipati nakata Barley pahali haifai)

Ka bado unapima cheki venye naifanya
Bado tuko baesa bitch ni bad manners
Na kama kuna giza huh, utaitana
Bado tuko baesa bitch ni bad manners

Bitch ni bad manners, manners manners ah
Bitch ni bad manners, manners manners ah
Bitch ni bad manners, manners manners ah
Bitch ni bad manners, manners manners ah

Bitch ni bad manners, manners manners ah
Bitch ni bad manners, manners manners ah

Sifuatani na umati najimess kama bangi
Aliponwa na mababi, ye si Gwaash ye ni bani
Si mkate na ukapi jo mchai na amani
Alimess akabaki ako nditni ju ya haki
Hatakikani na umati, akitoka hatabaki
Hii ndio worry kwa mzazi tusilete za uzani
Nime nime, nimeua

Tuko sherehe na haitaki hasira (Aah)
Haitaki mabombo ma nigga (Aaah-aah)
Inataka tu makwanto wameiva
Bill nitalipa kwanza ka ni kuririma huh
A for apple na K for Kanali
Sijai kata gwil, kata gwil katikati
Sipati nakata Barley pahali haifai
(Sipati nakata Barley pahali haifai)

Ka bado unapima cheki venye naifanya
Bado tuko baesa bitch ni bad manners
Na kama kuna giza huh, utaitana
Bado tuko baesa bitch ni bad manners

Bitch ni bad manners, manners manners ah
Bitch ni bad manners, manners manners ah
Bitch ni bad manners, manners manners ah
Bitch ni bad manners, manners manners ah

Eh eh! We ni mrastaman duster umeweka kwa kichwa
We ni kimaster ama pastor dula kufichwa
We unaelewanga ama unaelewa huh
We unaelewanga ama unaelewa  aah aah

Hapa sinayo mbogi hii ni ya rasta (Rasta)
Wasupa mareggea kwa Snapchat (Snapchat)
Mazigi jo tutinge madasha (Madasha)
Anakupa resha tunapull na mabiang'a (Mabiang'a)
Na hii majani sio ya Kericho ni ya Kabianga (Kabianga)
Ilianza ka kikolo sa hii ni pyenga (Sai ni pyenga)
Nina seska imenijazia weather (Oooh)
Bareta bakmanyu ya efa (Twa twa)

Nina mazigi ka nichi na kondiko mia
Netflix Maria na kwandoses mia
Macookie ndio hizi bed nimemshikia
Rookie lakini leo bado anarukia

Backbench na mi si mahabusu
Freaky Friday naget loose na Lucy
Thika Highway ma G ride na ngusu
Pigwa waya ka Zuku
Roaster nikiwa area si ziwake
Flash flash ka ni tei ama mbotke
Faster tuzidi daus hadi shokde
Ala na uekange chini niokote

Tuko sherehe na haitaki hasira (Aah)
Haitaki mabombo ma nigga (Aaah-aah)
Inataka tu makwanto wameiva
Bill nitalipa kwanza ka ni kuririma huh
A for apple na K for Kanali
Sijai kata gwil, kata gwil katikati
Sipati nakata Barley pahali haifai
(Sipati nakata Barley pahali haifai)

Ka bado unapima cheki venye naifanya
Bado tuko baesa bitch ni bad manners
Na kama kuna giza huh, utaitana
Bado tuko baesa bitch ni bad manners

Bitch ni bad manners, manners manners ah
Bitch ni bad manners, manners manners ah
Bitch ni bad manners, manners manners ah
Bitch ni bad manners, manners manners ah

Ati vile kanawhine na mi ni mtu makali man
Ex wangu bado huniita mr candy bar
Nilikuwa namkunja hadi akaban church
Na temper zangu huziwezi nikipiga cham

Nikipatana na battyman mi hujam
Na pongi ziko kila area kwanza town
Hakuna kitu so sweet kama pongi na herb
Usishow kila dem kwako welcome
Hutapata ni well hautakang' haraka

Kata hiyo tenje mami nitoe hii mjulubeng
Nikikata hiyo nunu juu ya bed kama bell
Nikikaza kiumahuru hadi pongi ikuwe wet
Nikubeng mjulubeng hadi malate

Tuko sherehe na haitaki hasira (Aah)
Haitaki mabombo ma nigga (Aaah-aah)
Inataka tu makwanto wameiva
Bill nitalipa kwanza ka ni kuririma huh
A for apple na K for Kanali
Sijai kata gwil, kata gwil katikati
Sipati nakata Barley pahali haifai
(Sipati nakata Barley pahali haifai)

Ka bado unapima cheki venye naifanya
Bado tuko baesa bitch ni bad manners
Na kama kuna giza huh, utaitana
Bado tuko baesa bitch ni bad manners

Bitch ni bad manners, manners manners ah
Bitch ni bad manners, manners manners ah
Bitch ni bad manners, manners manners ah
Bitch ni bad manners, manners manners ah

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Bad Manners (Single)


Copyright : (c) 2020


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

GWAASH

Kenya

Fatboy Gwaash aka Mr. Sponyo real name Martin Wagura (Born 1st April 1997) is a Kenyan Gengeton ...

YOU MAY ALSO LIKE