Ongeza Cover (Diamond Platnumz) Lyrics
(Gold Boy)
Mi kwako sikuingia miguu
Mikono hadi kichwa
Kiufupi mazima
Nikiamini wa kufa kuzikana
Yaani hoi sio nafuu
Mahututi kabisa hata mashaka sina
Nikiamini
Utatengwa na Maulana
Mvumilivu hula mbivu
Nimengoja mpaka zikaoza
Naambulia maumivu
Ningali sina wa kunipoza
Sijui yangu stahimilivu
Kunyenyekea kwaniponza
Napambania utulivu
Mwezangu chuki unaikoza
Sikukufuta machozi
Ulipolia nikalia na wewe
Sasa mbona wanipa majonzi
Yaani stress mapombe nilewe
We ndo wangu Yesu Mkombozi
Sa mbona Petro unaniacha mwenyewe
Nikose usingizi na njozi
Ndo ufurahi okay sawa
Si unataka nitukanwe
Ningekupa nini tena
Hukumeza ukatema
Mi sina gari
Hukumeza ukatema
Ongeza ongeza bado
Ongeza ongeza bado
Ongeza ongeza bado
Ongeza ongeza bado
Kisichokuua hukukomaza
Ati umasikani huo msemo mi nakataa
Maana jua linapoangaza ndo sina afadhali
Mi kwangu ni mabalaa
Oooh najitahidi kumsinga mwali
Ila somo nalikataa
Oooh penzi letu si la kibatari
Anayamwaga mafuta taa
Kutwa ni purukushani
vurugu ndani hapakaliki
Roho inaniuma yaani
Sa kwanini sa tunagombana sweetie
Nisamehe
Kunikomesha umepata bwana la kihaya
Sababu
Umeichoka jeuri yangu ya Kigoma
Ongeza ongeza bado
Ongeza ongeza bado
Ongeza ongeza bado
Ongeza ongeza bado
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Ongeza Cover (Diamond Platnumz) (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
GOLD BOY
Tanzania
Gold Boy is an artist from Tanzania best known for popular music covers. ...
YOU MAY ALSO LIKE