Milele Lyrics

Sifa ya mpishi kupika chakula kiive
Sifa ya dereva abiria wafike
Sifa ya msomi ni kusoma ili afaulu
Je, waijua hiyo sifa yake mungu
Amewekeza yaliyo mengi mazuri ndani
Sababu anayo imani na wewe
Kushindwa timiza aliyokupa, huyo bwana
Nikumwangusha huyu mungu ee mama
Milele milele
Wewe si wakawaida
Milele milele
Baba mama kazana
Ukiona bahari basi jua aweza fanya njia
Ukiona ukame wewe jua awezaleta mvua
Ukiona na njaa anauwezo wa kukupa chakula
Eeh mama, eeh Baba mwamini tu
Kama njia ni ngumu wahisi kama huwezi kupita ni miiba eeh
Wewe rudi anatamani umshirikishe
Ameshategua mitego mingi yako kitu gani ?
Aitwa mungu amewekeza ukubwa ndani mwako
Milele milele
Wewe si wakawaida
Milele milele
Baba mama kazana
Milele milele
Wewe si wakawaida
Milele milele
Baba mama kazana
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Milele (Single)
Added By : Farida
SEE ALSO
AUTHOR
GODFREY STEVEN
Tanzania
Godfrey Steven is a Gospel Music Minister, Songwriter, Recording and Perfoming artist&nb ...
YOU MAY ALSO LIKE