Chombeza Lyrics

Twafanana
Mora kabariki yako tabia
Tunaendana
Kama we kilevi kwangu ni bia
Nikoleze ninogeshe mi nipagawe
Nipe vya moto moto mi nilowe
Kitandani kwachu kwachu tu mi nawe
Ooh yeah yeah, ooh yeah yeah
Mi ni mvumilivu baby
Nakula ninachojionea
Nikipendaga sibagui
Nakula hata kibamia
Chombeza, chombeza
Umenipa penzi chombeza
Chombeza, chombeza
Umenipa penzi chombeza
Oooh utasemwa mengi
Na washakunaku usijali wakiongea
Hawapendi page za udaku ndo zao potezea
Juzi marafiki zako nilikuta wanachamba chamba
Ati unanuka jasho nawezaje kukulamba lamba
Tena wakatosha vihoja we ndo bingwa wa kudanga
Yaani namba moja wajulikana viwanja
Ati wanasema kicheche, hunifai umezoa mkweche
Sasa nipe ukwadu ukwadu (Chombeza)
Mi ndo ukwaju ukwaju (Chombeza)
Sasambua sambu sambu (Chombeza)
Uno gwaju gwaju
Chombeza, chombeza
Umenipa penzi chombeza
Chombeza, chombeza
Umenipa penzi chombeza
Nipe jo jo jo (Chombeza)
Nataka kuchojo (Chombeza)
Aya prokoto (Chombeza)
Simamishe jogoo
Ooh basi nichombeze (Chombeza)
Isimame dedede (Chombeza)
Ongeza madegeje (Chombeza)
Nichomeke jegeje (Nichombeze)
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2020
Album : Chombeza (Single)
Copyright : (c) 2020
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
YOU MAY ALSO LIKE