Home Search Countries Albums

Anakudanganya

FRIDA AMANI

Anakudanganya Lyrics


Na na na na na yeah yeah
So Ilinipigia simu akasema ananipenda
Anataka kuwa na mimi weekend
Na kama itakuwa fresh, tunaweza chill humo
Tukakaa tuka drive bike
Kila bar club zunguka jiji la dar
Nikapenda idea akasema fresh
Ninalupitia Friday look good cause we gonna party all day
Amma be your baby show you off
Nakupenda sikufichi
Alipikata tu nikapiga kwa mina
Shoga nimepata wangu wa maisha nigga got it
She said, send me his picture
I did akaaa kama five minute hakunirudia
Ikabisi ni text tena
Vipi mbona kimya au wamjua
Yes bitch, this nigga is a liar ni malay
Alinitaka me nikamkataa akaenda kwa kaya
He’s been texting lala, now you hana haya
Nikawa confused, What you serious
Yes lemme send you his texts
Alikuja kwangu akasema anweza kuwa na mimi forever

Aah I don’t know
I know, I know I know yeah
Let him know that you know
That you know, that you know
Anakudaganya huyo
Anakudanganya yeah yeah
Anakudaganya huyo
Anakudanganya yeah yeah
What’s love

Nikaanza jiuliza bro can hurt hadi ameniumiza
Nikataka kulipiza askali mtumwe kekekaa
We show him sisi sio wa kucheza nao
Well it’s good though, maybe amebadilika
Should I try it, naweza dharirika
Ila ana features ambazo me napenda
Maybe me na kupendwa so why should I care
But he looks like a player navyomtizama
Nikaanza m-stalk Instagram, through the comments
Na wanaom follow nikadata
Nikagata kina wena mimi mars
Na comments za makopakopa zimezaa
Nimenuna am thinking about it
Nikubali anifate, twende tuka party hell whole night
Thinking about it, nikubali anifate twende tuka party

Aah I don’t know
I know, I know I know yeah
Let him know that you know
That you know, that you know
Anakudaganya huyo
Anakudanganya yeah yeah
Anakudaganya huyo
Anakudanganya yeah yeah
What’s love

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Anakudanganya (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

FRIDA AMANI

Tanzania

Frida Amani is an artist/presenter from Tanzania. She is also known as Queen Fifi. ...

YOU MAY ALSO LIKE