Home Search Countries Albums

Nditni Lyrics


Warombosaji Ndio KufikaDee
Hello hello hello hello hello

Warombosaji Ndo KufikaDee
Hello hello hello hello hello
Natumekuja Kusumbuazee
Hello hello hello hello hello
Na Mangwetez wameweza zeee
Hello hello hello hello hello
Na Makang'ethe Wang'ethia thee
Nditni Litty Machingri Tuko Tipsy
Nditni Litty Machingri Tuko Tipsy

Eeh Niko nditni sssss moja Safi
Nko litty
Io ni champaigne sippy sippy
Nipate Dance floor nkiwa tipsy na Sio siri
1 2 make a circle 3 4 a big circle
1 2 shika wako 3 4 a big wako
Eh Nko nditni sssss moja safi
Nko litty
Io ni Champagne sippy sippy
Nipate Dance floor nkiwa tipsy na Sio siri
1 2 make a circle 3 4 a big circle
1 2 shika wako 3 4 a small wako

Tunabanjuka My Guys
Leo Tunarombosa My Guys
You Guy
Tunasumbua My Guys
Leo nikuwateka My Guys
You Guy
Buyakah buyakah
Minaleta Show mbaya
Yani Moto tena Fayah
Mnacheki Mnataya
Nikubanjuka my guys
You Guy
Nikurombosa my guys
You Guy
Nikuwateka my guys
Tunaleta show mbaya moto Fire Walae
Tunasumbua My Guys
You Guy
Tunarombosa my Guys
You Guy
Tunawateka my Guys
Tunaleta show mbaya moto Fire Walae
Ayayayayaya
Tunaleta Show mbaya moto Fire Walae

Eeh Niko nditni sssss moja Safi Nko litty
Io ni champaigne sippy sippy
Nipate Dance floor nkiwa tipsy na Sio siri
1 2 make a circle 3 4 a big circle
1 2 shika wako 3 4 a big wako
Eh Nko nditni sssss moja safi
Nko litty
Io ni Champagne sippy sippy
Nipate Dance floor nkiwa tipsy na Sio siri
1 2 make a circle 3 4 a big circle
1 2 shika wako 3 4 a small wako

Mi Nadai Dame
Nami nasema kwamba mi nadai Dame
Eiiiiiiyaah Stoki bila dame
Mrombosaji Mi stoki bila dame
Stoki bila dame
In 1,2 Shikaahhh
3,4 A big
Like a Sufuria, Leo tunafurahia,
Na pia,Mabeer Ziko over Here
Drip ni Safi nlibuy Mia mia
Ngeos ameweza nawika Aichachachacha aih Mama Mia
We Take A Selfie ikule Likes Over Thao Mia Aiiih Mia Mia

Eeh Niko nditni sssss moja Safi
Nko litty
Io ni champaigne sippy sippy
Nipate Dance floor nkiwa tipsy na Sio siri
1 2 make a circle 3 4 a big circle
1 2 shika wako 3 4 a big wako
Eh Nko nditni sssss moja safi
Nko litty
Io ni Champagne sippy sippy
Nipate Dance floor nkiwa tipsy na Sio siri
1 2 make a circle 3 4 a big circle
1 2 shika wako 3 4 a small wako

Aaah aaah aaah Wako
Eeeh eeeh eeeh Wako
Uuuh uuuh uuuh Wako
Wa wa wa wako

Niko Nditni wako
Litty wako
Machingri wako
Niko Tipsy Wa wa wa wako
Nditni Litty Machingri Tuko Tipsy
Nditni Litty Machingri Tuko Tipsy

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Nditni (Single)


Copyright : (c) 2021


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

MOVAZ WAROMBOSAJI NATION

Kenya

Movaz Warombosaji Nation, members include; Patrick Ng'ang'a, Faisal Karanja and Hillary Kama ...

YOU MAY ALSO LIKE