Home Search Countries Albums

Tawile

FID Q Feat. RICH MAVOKO

Tawile Lyrics


Sie wenyewe watoto wa paka
Hatuwekewi mipaka
Mungu akipenda.. hata usipotaka
Ukipinga utadata
Haya weeh.. tawile.. tawile tawile mwana wane yeah
Tawile tawile tawile haya wewe

Face serious unatania
Life iko tight ninakwambia
Nikifanya kweli unaninunia
Msimu wa makaveli utawarudia
Mnapata depression
Mnachoamini mkiona hakihappen oh yeah
na mnavyopenda attention
na mademu zenu mnashea lotion oh yeah
Huu ujuzi hawaujui na wanadata ni soo
Hii michuzi haufumui kwa kutazama kioo

Sie wenyewe watoto wa paka
Hatuwekewi mipaka
Mungu akipenda.. hata usipotaka
Ukipinga utadata
Haya weeh.. tawile.. tawile tawile mwana wa amani
Tawile tawile tawile haya wewe

Nilipo sipo ninapotaka bakia...nipo sipo kama triple OG’z
Na kama ipo ipo tu hauwezi zuia
Huu ni wakati wa mapito , haufuati maandiko.. hauoni!?
Na kama ipo ipo tu hauwezi zuia
Huu ni wakati wa mapito , haufuati maandiko.. hauuoni!?
Weweya.. mie mtu mzito ushanisikia
Kila party nilipo haupati maujiko...hukomi?
usije jiroga nivamia ..ninapokua na mboga unawaza utamu kunoga homie
Homie? Homie hiyo kwiyo
Mie kwanza huwaga sipendi huo ushkaji wa ndio ndio
Make sure sikuoni hata chooni iwe mbio mbio
Na usitake nikuweke rohoni utakuwa hauponi mie sio
Ni wazi mie na wanangu tumepinda
Hatuwazi tunatongoza hadi maninja
sio maninja tu hata waliovaa kininja
Na tukikosa tunatongoza hadi wenye mimba

Sie wenyewe watoto wa paka
Hatuwekewi mipaka
Mungu akipenda.. hata usipotaka
Ukipinga utadata
Haya weeh.. tawile.. tawile tawile mwana wane yeah
Tawile tawile tawile haya wewe

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2022


Album : Tawile (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

FID Q

Tanzania

Fid Q, born Fareed Kubanda on the 13th of August 1982 in Mwanza, Tanzania, is a popular Bongo F ...

YOU MAY ALSO LIKE