Lete Pombe Lyrics

Boss usivuruge picha yangu
Nakuomba mama lete pombe
Binti usichezee moyo wangu (Koma)
Nakuomba mama lete pombe
Kaisha lenyewe ni tunga, lete pombe
Kera zenyewe ni chache, zina stress
Weka maji, weka nyagi kisha ipendeze
Weka maji, weka nyagi kisha ipendeze
Sijanywa toka jana sina amani
Nataka mi nilewe lewe niwe na amani
-- shoti ipande kichwani
Nataka we nikemee mashetani
Shindwa!
Kichwa itulie, moyo utulie, nafsi itulie
Lete pombe, lete pombe
Kichwa itulie, moyo utulie, nafsi itulie
Lete pombe, lete pombe
Weka maji, weka nyagi kisha ipendeze
Weka maji, weka nyagi kisha ipendeze
Sijanywa toka jana sina amani
Nataka mi nilewe lewe niwe na amani
-- shoti ipande kichwani
Nataka we nikemee mashetani
Shindwa!
Kichwa itulie, moyo utulie, nafsi itulie
Lete pombe, lete pombe
Kichwa itulie, moyo utulie, nafsi itulie
Lete pombe, lete pombe
Weka maji, weka nyagi kisha ipendeze
Weka maji, weka nyagi kisha ipendeze
Sijanywa toka jana sina amani
Nataka mi nilewe lewe niwe na amani
-- shoti ipande kichwani
Nataka we nikemee mashetani
Shindwa!
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Lete Pombe (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
FASY MASAUTI
Tanzania
Fasy Masauti is a singer/songwriter from Tanzania. He is also the CEO and Owner of Masauti Entertain ...
YOU MAY ALSO LIKE