Home Search Countries Albums

Tempted

ETHAN MUZIKI

Tempted Lyrics


I'm Tempted, Tempted
My hand on it, my hand on it

Naona, kama vitu vinazunguka
Vitu vimelipuka, siko sawa
Sioni, kama kesho tutakumbuka
Picha ni za maana, tena sana
Weka namba ya till
Vile unasukisa hio mwili
Itabidi tukulipe, mikono tuzichunge
Weka namba ya till
Vile unasukisa hio mwili
Itabidi tukulipe, mikono tuzichunge

I'm tempted, tempted
I'm tempted to put my hand on it
My hand on it
I'm tempted, tempted
I'm tempted to put my hand on it
My hand on it
I'm tempted

Madem na machali wao
Wamekuja na combato
Hawapitii kwa mlango
Wanarukia dirisha
Wanaitisha rudia
Hio wimbo ya Ethano
Icheze kaa mara tano
Weka namba ya till
Vile unasukisa hio mwili
Itabidi tukulipe, mikono tuzichunge
Weka namba ya till
Vile unasukisa hio mwili
Itabidi tukulipe, mikono tuzichunge

I'm tempted, tempted
I'm tempted to put my hand on it
My hand on it
I'm tempted, tempted
I'm tempted to put my hand on it
My hand on it
I'm tempted

Got me Tempted
Come on and put your hand on my body
Your hand on nobody else

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2021


Album : Tempted (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

ETHAN MUZIKI

Kenya

Ethan Muziki is a Songwriter, producer & Audio engineer from Kenya. He was a member of Jadi ...

YOU MAY ALSO LIKE