Home Search Countries Albums

NI WEWE TU

KING KAKA Feat. ATEMI

NI WEWE TU Lyrics


Uhhh uuuh - uuuuh

[VERSE 1 : KING KAKA ]
Okay
Ntapigania battle zetu ndo nakaza njumu sana
Na ujue mimi kukuacha itakua ngumu sana
Mi stubborn kaa zile nzi hutembelea watoto turkana
Niko impressed sikudanganyi nipunguzie stress za duniani
Anytime day & night ntakuguard kaa Ozone
Meeting lini mamii nmeandikia roho yako proposal
Weh ni 100 na ni nani anaweza pinga
Vaa rinda Kama tausi mama ringa
Ahadi zetu ziko kwa bank wacha zipate fidia
Chungana na wambea wako 2 faced kaa Idibia
Pastor kwa diocese bible kariri
Good girl in public bedroom bad girl kaa Riri
Na ntakupenda mamii hadi unichukie
Ntakupenda mamii hadi nkilewa nkupigie
Ni wewe tu,nobody else, usiwai tense, ni wewe tu
Usiseme yes...  Nipe suspence

[CHORUS: ATEMI]
Baby you all I want, I’ll have this feeling from the start
I thank God that he brought me to you
My heart,my love my baby boo(uuuh)
Ni wewe tu(uuh)
Ni wewe tu(uuh)
Ni wewe tu
My heart my love ni wewe tu

[VERSE 2 : KING KAKA]
Akichelewa sokoni huwanga sina fuss
Alinipenda wakati mimi sina cash
Ile Chemistry tunayo tunafaa ndani ya syllabus
Na tunago way back kabla Adam ajue nguo
Kabla vitabu zijue chuo, sukari ikuwe juo
Love yetu inajulikana siri kama organized crime
Na napenda vile ulinitransform kama optimus prime
Kuna watu hawapendi vile nakuspoil kaa milk
Shika shoti kwanza na ushukishe hiyo silk
Kutoka hapa ni PG, nakuchew ka big-G
Nakuchuna kaa pinchi unaskia tu thithi
Then shower na juo bari... Agghhh
Nmeisensor kiasi coz ma daughter wangu wanaskia
Mpenzi nakupa roho yangu utanishikia?
Si huwanga tunakeep it together na siri yetu sio blue
Ata ma detective na kdf huwa hawana clue
Nairobi skuizi baridi but yeh ndo my sunshine
Leta kidole niweke ring kama planet ya Saturn
Sababu.....Niko certain... ni wewe tu... Ni wewe tu

[CHORUS: ATEMI ]
Baby you all I want
I’ll have this feeling from the start
I thank God that he brought me to you
My heart,my love my baby boo (uuuh)
Ni wewe tu (uuh)
Ni wewe tu (uuh)
Ni wewe tu
My heart my love ni wewe tu
Ni wewe tu, Ni wewe tu, Ni wewe tu
My heart my love ni wewe tu
Baby you all I want, I’ll have this feeling from the start
I thank God that he brought me to you
My heart, my love my baby boo (uuuh)
Ni wewe tu (uuh)
Ni wewe tu (uuh)
Ni wewe tu
My heart my love ni wewe tu...

 

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2018


Album : Eastlando Royalty (Album)


Added By : Afrika Lyrics

SEE ALSO

AUTHOR

KING KAKA

Kenya

King Kaka born as Kennedy Tarriq Ombima in Eastlands Nairobi Kenya, is an Hip Hop Artiste from Kenya ...

YOU MAY ALSO LIKE