Home Search Countries Albums

Mungu Mwenyezi

ESTELLA KAKURU

Mungu Mwenyezi Lyrics


Mungu mwenyezi, uketiye juu
Ukubwawako wapita fahamu
Za binadamu, matendo yakoo
Hayana kipimoo
Uya fanyayo, yapita akili
Za binadamu
Mungu mwenyezi, uketiye juu
Ukubwawako wapita fahamu
Za binadamu, matendo yakoo
Hayana kipimoo
Uya fanyayo, yapita akili
Za binadamu

Uli umba
Mbingu kwa fahamu zako
Nyota na mwezi
Vya tangaza ukuu wako
Na moyo wangu
Watukuza jina lako eh Yahweh
Eh Yahweh eh Yahweh eh Yahweh

Usiye tishwa na jumbo lolote
Lipi lafika, maishani mwangu
Usilo lijuwa
Linalo fanya, mimi niliye
Haliku tishi majira yote una tawala
Usiye tishwaaa na jumbo lolote
Lipi lafika, maishani mwangu
Usilo lijuwa
Linalo fanya, mimi niliye
Haliku tishi majira yote una tawala

Uli umba
Mbingu kwa fahamuzako
Nyota na mwezi
Vya tangaza ukuu wako
Na moyo wangu
Watukuza jina lako eh Yahweh
Eh Yahweh eh Yahweh eh Yahweh

Bahari ya sogeya mbele zako
Wafalme waduniya wana shuka
Mbele ya ukubwa wako ewe bwana
Hakuna ata kaye simama
Bahari ya sogeya mbele zako
Wafalme waduniya wana shuka
Mbele ya ukubwa wako ewe bwana
Hakuna ata kaye simama
Nani ange simama
Mbele zako Yesu
Kweli hakuna

Uli umba
Mbingu kwa fahamuzako
Nyota na mwezi
Vya tangaza ukuu wako
Na moyo wangu
Watukuza jina lako eh Yahweh
Eh Yahweh eh Yahweh eh Yahweh
Hummm

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2020


Album : Mungu Mwenyezi (Single)


Added By : Farida

SEE ALSO

AUTHOR

ESTELLA KAKURU

Kenya

Estella Kakuru is a Kenyan gospel musician ...

YOU MAY ALSO LIKE