Home Search Countries Albums

Mboka

ELIABU DE KING Feat. HYDRA

Mboka Lyrics

Yea!
Its eliabu feat hydra king
Mboka yea yea yea yea yea

Kadaily ng'ang'ana mi nasaka ganji so mi napiga mboka
Niliwacha kukopa zile za kubebwa kila kitu kwenye keja nilitokwa
We working maboy machachari damu inachemka kwenye mwili sitachoka
Una ubaya buda we monchoka rende jo ni rong ka mkate utaokwa

Warazi ndo tulichorea na tangu tuapishwe tuna make ganji
Unataka niangusha na we si holy spirit mahater nishavishwa taji
Mliforce talanta msha copy drill mamorio hamna kipaji
Nawaosha kwa verse collabo ama single tulia wacheni utiaji
Chuki ka mama wa kambo sitaki, ukinidis matusi siwachi
Nilichoranga maverse ka thirty ukileta naleta heshimu ma chaji
Kwanza jifunze kudrip kung'ara ndo atleast upate ata sara
Piga ngasha wacha kuparara na usare
Luku za okala ukijam nitoe kafara mi nina god my niccur utahara
Daily narap naunda mshahara wewe utabaki utabaki ukilala
Jichoche jichoche umekill verse na hata kwa show hauna mafans
Iyo ni nini joh kama si curse daro ya madandaa na uwezi ata pass

Kadaily ng'ang'ana mi nasaka ganji so mi napiga mboka
Niliwacha kukopa zile za kubebwa kila kitu kwenye keja nilitokwa
We working maboy machachari damu inachemka kwenye mwili sitachoka
Una ubaya buda we monchoka rende jo ni rong ka mkate utaokwa
Kadaily ng'ang'ana mi nasaka ganji so mi napiga mboka
Niliwacha kukopa zile za kubebwa kila kitu kwenye keja nilitokwa
We working maboy machachari damu inachemka kwenye mwili sitachoka
Una ubaya buda we monchoka rende jo ni rong ka mkate utaokwa

Hydra naroga kwa beat ya drill
Am trying the best na flow ntakill
Na connect eliabu ni kumi si nil
From kanairo to kisii marapper mtatii
Sidai kupoteza topic juu nikianza lazima m-copy
So it's mboka mboka ni kazi wera ni hustle itaki watiaji
Tulisare sidika na huddah juu walipenda vako za mabuda
Tuko kwa street tunasaka ganji ndo at least tupate wasupa wasuba
Nikiomoka nasare ma uber mziki talanta nitoa madoba
Fikra kwa mongo zi ukua kuomoka nitembee na maganji kwanza kwa mkoba
Kazi ni kazi kwa yuts si hatujali hatutaki kusota
Bora nidrip nikule nisip  mi niko fiti
I gat the tips nipate kwa zabe ya jaba niko maveve na pia mogoka
After ka mboka joh nikumedi na mamorio tunapiga mambota

Kadaily ng'ang'ana mi nasaka ganji so mi napiga mboka
Niliwacha kukopa zile za kubebwa kila kitu kwenye keja nilitokwa
We working maboy machachari damu inachemka kwenye mwili sitachoka
Una ubaya buda we monchoka rende jo ni rong ka mkate utaokwa
Kadaily ng'ang'ana mi nasaka ganji so mi napiga mboka
Niliwacha kukopa zile za kubebwa kila kitu kwenye keja nilitokwa
We working maboy machachari damu inachemka kwenye mwili sitachoka
Una ubaya buda we monchoka rende jo ni rong ka mkate utaokwa

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG

Release Year : 2022

Album : Mboka (Single)

Added By : The Quafff

SEE ALSO

AUTHOR

ELIABU DE KING

Kenya

Eliabu De King is a Kenyan musician ...

YOU MAY ALSO LIKE