Home Search Countries Albums

Gagula Agugu

DYANA CODS Feat. DOMANI MUNGA

Gagula Agugu Lyrics


Ata ka ni 2G rombosa bila rasa
Rarua mandranya rasa nyoro ka ras
Niko Karura na marora 
Hawawezi roll bila shada

Ka ni kimbichwa tunakisunda tu kwa rasa
Ka ni raru huwezi nidara bila shada why lie
Ka ni kunyuria siwezi nyuria na mafala why lie
Mi natambua casablanca

Form kibao kwanza nyuria na hizo shada why lie
Itabidi zimenishika zimenishika why lie
Si ni kivela kata maji cheza chini na madranya
Mi hudinya machali hawawezi nidinya 
Kuna dem anadai nismoke na chok mi ndio Don dada

Aah fanya nikuonyeshe
Mi ndio gagula agugu
Gagula gaula agugu 

Fanya nikuonyeshe
Mi ndio gagula agugu
Gagula gaula agugu 

Fanya nikuonyeshe
Mi ndio gagula agugu
Gagula gaula agugu

Fanya nikuonyeshe
Mi ndio gagula agugu
Gagula gaula agugu

Najua tu kuuza ngwai 
Kazi ya kusecure maweng na mamali
Niko biashara ya kuslang na kusanif
Peng flani alinitrace ka nina arif

Bad boy mtricky, mi hushindaga ile machine
Na nikivibe na msupa hunny creamy
Lori inafreeze hadi inafreeze maji running
Mrenga ndani ni creamy tunaslide till Diani

I hope you know that huyo jamaa sio stepper
Huyo mtu wenu ni muoga
Tumegeuka wachawi tunawaroga
Na si porojo kusema ukweli biashara imenoga
Niko onload sikutwai na sijaoga

Aah fanya nikuonyeshe
Mi ndio gagula agugu
Gagula gaula agugu 

Fanya nikuonyeshe
Mi ndio gagula agugu
Gagula gaula agugu 

Fanya nikuonyeshe
Mi ndio gagula agugu
Gagula gaula agugu

Fanya nikuonyeshe
Mi ndio gagula agugu
Gagula gaula agugu

Ka ni kimbichwa tunakisunda tu kwa rasa
Ka ni raru huwezi nidara bila shada why lie
Ka ni kunyuria siwezi nyuria na mafala why lie
Mi natambua casablanca

Form kibao kwanza nyuria na hizo shada why lie
Itabidi zimenishika zimenishika why lie
Si ni kivela kata maji cheza chini na madranya
Mi hudinya machali hawawezi nidinya 
Kuna dem anadai nismoke na chok mi ndio Don dada

Enjoy Synced Lyrics With Our Mobile App

Download on Google PlayGet it on App Store

WATCH VIDEO

ABOUT THIS SONG


Release Year : 2019


Album : Late Night Kneeler/Gagula Agugu (EP)


Copyright : (c) 2019 Zoza Nation.


Added By : Huntyr Kelx

SEE ALSO

AUTHOR

DYANA CODS

Kenya

Dyana Cods is a songwriter, artist, performer signed under Zoza Nation. ...

YOU MAY ALSO LIKE