Sawa Sawa Lyrics
Hey baby we umeniwasha fire
Coz lately tabia zako hazina haya
We mpenzi usinifanye mi wako fala
Usinipandishe hasira bana weee
Wee hiyo desire, penzi nayuko
Kila mara ugomvi na fujo
Wee hiyo desire, penzi nayuko
Kila mara ugomvi na fujo
Sawa sawa sawa sawa
Sawa sawa sawa sawa
Kama hunipendi baby
Sawa sawa sawa sawa
Sawa sawa sawa sawa
Kama hunipendi baby
Hunipendi, huni
Hunipendi ooh, huni
Hunipendi, hunipendi
Hunipendi, huni
Hunipendi ooh, huni
Hunipendi, hunipendi
Wacha vitisho you can pack your things and go
Hapana leta maringo mapenzi yangu si ya doh
Na kila napouliza mdomo we unapiga....
Wee hiyo desire, penzi nayuko
Kila mara ugomvi na fujo
Wee hiyo desire, penzi nayuko
Kila mara ugomvi na fujo
Sawa sawa sawa sawa
Sawa sawa sawa sawa
Kama hunipendi baby
Sawa sawa sawa sawa
Sawa sawa sawa sawa
Kama hunipendi baby
Hunipendi, huni
Hunipendi ooh, huni
Hunipendi, hunipendi
Hunipendi, huni
Hunipendi ooh, huni
Hunipendi, hunipendi
Nilikuwa nimezama kwa mambo ya mapenzi
Na bado mlango nabisha
Nilikuwa nimezama kwa mambo ya mapenzi
Na bado mlango nabisha
---
Kamba language
----
Sawa sawa sawa sawa
Sawa sawa sawa sawa
Kama hunipendi baby
Sawa sawa sawa sawa
Sawa sawa sawa sawa
Kama hunipendi baby
Hunipendi, huni
Hunipendi ooh, huni
Hunipendi, hunipendi
Hunipendi, huni
Hunipendi ooh, huni
Hunipendi, hunipendi
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2022
Album : Manjano (The Yellow Tape) (Album)
Copyright : (c) 2022
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
BENDI HURU
Kenya
Bendi Huru is a 3 member afro-fusion boy band from Kenya. Members include Tito real name Titus ...
YOU MAY ALSO LIKE