Bahati Wachana na Sisi (Fikra za Bahati Reply) Lyrics
Nairobi City King Kong
Uh naskia mtoto wa Diana unaroroa eh
Unahukumu watu umekuwa Mungu eh
Unajichocha unajua buda ya Heaven ni nani eh
Umesema yako niruhusu niseme yangu eh
Naskia Ringtone chairman umemvisha kamisi
Daddy Owen aende Radio Jambo arudiane na bibi
Kabi wa Jesus sijui unamuuliza nini
Ata ka alisosi cuzo wachana na sisi
Unasema Guardian ameoa mtu anafaa kuwa guardian wake
Wako akifika 50 atakaa kama wake
Ati Seed alikataa mimba yake
Yaani bado unaamini Edgar na wanawake
Niko labour nazalisha wanao uchungu na mimi
After Mungu bahati niogope mimi
Afadhali niskie njaa nisikuskize mimi
Hauna sauti ni soul tu na umesahau dini
Mtoto wa mama sijui umekuwa mtoto wa nani?
Uliacha kuimbia baba sijui unaimbia akina nani?
Izo vitu unafanya usiweke injili ndani
Unajitafutia laana umekuwa mtu bladifakin
WATCH VIDEO
ABOUT THIS SONG
Release Year : 2021
Album : Bahati Wachana na Sisi (Fikra za Bahati Reply) (Single)
Copyright : (c) 2021
Added By : Huntyr Kelx
SEE ALSO
AUTHOR
DK KWENYE BEAT
Kenya
DK Kwenye Beat whose real name is David Kilonzo is a Kenyan gospel musician. He was born in Kangundo ...
YOU MAY ALSO LIKE